ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Kilichowapa mvuto ccm ni siasa za kumchafua mgombea wa ukawa kuwa ni mgonjwa na pointi ya pili mgombea huyo ni fisadi . Hii hoja ya ugonjwa ndio waliishikia bango sana. ..
Sasa watu wenye ufahamu tunajiuliza ikiwa Lowasa Mungu atamuweka hai hadi 2020 ile hoja ya ugonjwa ambayo iliwapa nguvu kwa 70% itakuwa haina nguvu tena. Lakini hoja ya pili ya ufisadi ambayo ilihubiriwa sana kwamba mahakama ya kifisadi itamfunga Lowasa na mpaka sasa imeshaonekana dhahili uwezekano wa kumfungulia mashtaka Lowasa haupo , hoja hiyo nayo itakuwa imekwisha nguvu.
Je unafikiri ccm wanaweza kuwini influence kwa mbinu gani.