Sikukuu ya mwaka mpya yapigwa marufuku Korea Kaskazini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,319
50,534
Sikukuu ya mwaka mpya yapigwa marufuku Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amepiga marufuku sherehe za Krismasi na mwaka mpya kusherekewa nchini humo

Hata katika sherehe za Krisimas, Kwa mujibu wa habari ya India Times ni kuwa badala ya kusherekea kuzaliwa kwa Yesu kulingana na imani ya wakristo,raia nchini humu walitenga siku hiyo kumuenzi bibi ya Kim .

Kim ambaye pia ni mwanaharakati wa kikomunisti amefahamisha kuwa bibi yake atatambulika kuwa 'Mama mtakatifu wa mabadiliko'

1482939327279.png
 
Hivi huyu ni mnene au mbona simuelewi.Je inamaana yeye sio Komandoo kama Putin?I mean kwa mwili huo yuko fit?
 
walitakiwa wakorea wadai kumpa huyo bibi yako utakatifu na sio wewe mjukuu
lkn sio mbaya kwa kkuwa hainihusu
 
Source India times

Kwanini isiwe TV,radio au gazeti ya North Korea???
 
Safi Sana, good leadership. Kwa nini mnamlaumu wakati wengine hawana Christmas kwenye madhehebu Yao, wengine wanasheherekea January 6,7. Nampongeza Kwa kufuta Christmas.
 
Safi Sana, good leadership. Kwa nini mnamlaumu wakati wengine hawana Christmas kwenye madhehebu Yao, wengine wanasheherekea January 6,7. Nampongeza Kwa kufuta Christmas.
Mkuu hajafuta chrismas, amefuta sherehe za chrismas.
 
Back
Top Bottom