MELI MPYA YA AZAM YAWASILI ZANZIBAR.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,675
Meli mpya ya kampuni ya Azam Marine itwayo Azam Sea link 2 aina ya RoRo imewasili leo Bandarini Zanzibar,

Meli hiyo inauwezo wa kubeba abiria 1650,Magari 150 na mizigo ya tani 717.

source Azamtv

hongereni makampuni ya Azam kwani Tusipokula,Tutakunywa Au Tutaangalia na Pia Tutapanda.
 
7bc7418d4e8f8458f40165897f751821.jpg
4a05f9103ade55ec02c20ac7f7d5e78c.jpg
 
Ile ya Mv Dar Es Salaam hivi ipo? nakumbuka ilinunuliwa kwa mbwembwe kweli na yule Waziri wa Uchukuzi mstaafu.
 
Back
Top Bottom