Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

Kwa hiyo mh rais kaongea hayo maneno 4 tuu. Huko alikoongea wenyewe si wameelewa na wameridhika kelele za nini tena. Kwanza umeshakula kijana?
 
Ninachompendea Rais wangu huyo Dr Magufuli ni kwamba anasema ukweli, iwe tamu ama chungu, yeye atasema tu kama ilivyo. Sasa watu wengine mnapenda mdanganywe, aje aseme tutawajengea nyumba, halafu mtakaaa weee kusubiri hizo nyumba wala hazitajengwa.. bola huyu anasema ukweli ili ujipange kabisa
Hapa hatuongelei ukweli, unaweza kujiongeza ukaongea ukweli mchungu lakini kistaarabu na staha hadi uliyemchana laivu akafurahia...
Tatizo mkulu ni katapila linalopuyanga tuu
 
Sidhani kama atatokea mwenye KIBURI kama FARAO.

Sidhani kama atatokea DICTATOR kama Adolf Hitler

Sidhani kama atatokea mwenye DHARAU kama Idd Amini

Lakini kwa maajabu ya Mungu yanayoshangaza..
Leo hii wote hao ni MAVUMBI.

Huyu ni Muigizaji walishapita wale Origional.

God's time will tell.
Pia walishatokea watu wasiokuwa na heshima kwa viongozi kama sodoma na gomora nao wameshakuwa mavumbi sembuse ww
 
Dah m nlishindwa kumalzia
h otuba yake kaongea pumba sana na alkua haeleweki nia yake

Kawagombeza sana kawasuta sana wanakagera Ila walnfrahisha kutokudhuria kwa wingi
 
Seriously.??
Ulikataa lakini, remember??

We goin' have to make new arrangements kama uko serious.!!
Ila mimi bado naipenda Tanzania, Bado nina imani na nchi yetu.. We will get out of this.. Hatupaswi kukata tamaa! Hii ndio nchi yetu, hapa ndipo Mungu alipotupa..

If we go somewhere else, itakuwa kwasababu ya kujijenga kimaisha tu but motive yetu isiwe kuikatia tamaa mchi yetu!!

Natamani tuwarithishe watoto wetu nchi bora kuliko hii! Hivyo sisi wazazi wao hatupaswi kugive up mapema hivi..

Be strong sweetheart.! This will pass..

Kweli nilikataa my love lakini sasa 've made up my mind,fanya tu maandalizi sasa.

Mimi siipendi Tanzania na sitaki kuwarithisha watoto wetu nchi ya laana kama hii.

Kweli michango (rambirambi) zinaliwa halafu waathirika wanapewa kejeli na masimango badala ya faraja?

Nimechoka honey,Wallah namaanisha nimechoka!
 
Ninachompendea Rais wangu huyo Dr Magufuli ni kwamba anasema ukweli, iwe tamu ama chungu, yeye atasema tu kama ilivyo. Sasa watu wengine mnapenda mdanganywe, aje aseme tutawajengea nyumba, halafu mtakaaa weee kusubiri hizo nyumba wala hazitajengwa.. bola huyu anasema ukweli ili ujipange kabisa
Mbona Magomeni alisema watakaa bure kwa miaka mitano?
 
(iv) "asitokee mtu kuwadanganya kwamba serikali itagawa chakula., hauwezi kugawa chakula ardhi ni ya kijani"
maneno hayo tu yanaondoa umuhimu na u maana wa hotuba yake-watu wamepata majanga huwezi ukawaimbia muda huo huo wakalime wapate chakula
Kwa mfano wewe ndio rais ungewaambia nini wana kagera?
 
Stop dreaming and start living watanzania bila kubadili jinsi ya kufikiri maendeleo tutayasikia kwa wenzetu tu
 
(i) "Waambie hao wanasiasa wawajengee hizo nyumba zenu wenyewe.. "

(ii) "kwa hiyo kila mmoja katika upande wake abebe msalaba wake mwenyewe..,"

(iii) "jukumu la serikali ni kurejesha miundombinu ya serikali, siyo kujenga nyumba za wananchi"

(iv) "asitokee mtu kuwadanganya kwamba serikali itagawa chakula., hauwezi kugawa chakula ardhi ni ya kijani"

(v) "sasa mkuu wa wilaya nataka nikueleze hapa.., sitaleta chakula hapa, hakuna chakula cha serikali, serikali haina shamba "

(vi) " nimekuja kuwapa ujumbe huu, na mwenye kusikia asikie"

>>>> Hayo ni ya maneno ya 'FARAJA' kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli akiwa Kagera leo.., una maoni yapi katika kauli hizo za Rais wa watanzania wakiwepo wale wahanga qa tetemeko kule Kagera!!?

Binafsi; sina deni hata chembe.., hii dhambi haiwezi kunitafuna (ya kuichagua CCM).., siyo mmoja kati ya wale ambao walichagua CCM.., siyo mmoja wapo kabisa!
naendelea kuwakumbusha tena na tena wandugu.......[HASHTAG]#msirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Tatzo watanzania tunapenda kudanganywa,na vya bure hapa Kazi tu ndo mpango mbna waathirika wa mwakata aliwaambia ivo ivo na watu mlikaaa kmya kufanya ivo ni bora kuliko kufanganya
 
Back
Top Bottom