dah msiwashangae CCM kinachofanya wakose watu ni wizi, watu wamechoswa na unafiki lkn yupo Mungu asiyeshindwa Tz tumepewa magoti tupige nakumuomba yy atatusaidia
Wito wa toba12 Lakini hata sasa, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, Nirudieni kwa moyo wote, kwa kufunga, kulia na kuomboleza.
13 Msirarue mavazi yenu kuonesha huzuni bali nirudieni kwa moyo wa toba. Mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; yeye amejaa neema na huruma; hakasiriki upesi, ni mwingi wa...
siku zote dawa ya moto ni moto. cha kufanya huyo kijan aokoke na yeye akishaingia zizini ndo ataona utamu wake na Mungu atamfanyia jambo. Nakushukuru kwa kutupa taarifa bt nakusikitikia km hujampa Yesu maisha yako wewe
sasa mnataka mhasibu afanye kazi au mnataka mtu wa kuzaa watoto? mbna binfsi sioni logic awe wa kike il nini ? yani elimu nao in jinsia. ths z childish vacancy. kuna kiongozi mmoja alishawahi kusema ukila lzm uliwe nadhani mnataka kutimiza hilo.
Basi bwana wal;e wajumbe wa halmashauri kuu ya kile chama chetu cha mafiosango wamelichoka vuvuzela lao na kusema kuwa eti linaropoka na halina mpangilio, haivi jamani kwani hataki kuonana na washauri wenye akili timamu na kusaidiwa katika kutoa taarifa, basi alivyojichanganya tu wale wenye...
kama ilivyo kawaida upinzani kwa hapa tz unafahamika , na wabunge wa upinzani wanafahamika ikiwa ni pamoja na wanachuo wenye uchungu na nchi yao. Kafulila ni jembe mimi nalikubali tena saana na hiyo ndo iliofanya akakubal kutoka ili asijinajisi km wengine ambao walikua wameamua kubaki ndani ya...
nape mnafiki tambwe mjinga
nape ana bachelor tambwe ana cheti
nape vuvuzela tambwe kasuku
nape ana sera feki tambwe mbabaishaji
nape mamluki wa ccm tamwe kibaraka wa cuf
nape ni mdau wa ccj tambwe mdau cuf.
yote 9 lakini ukimsikiliza nape unaweza ukatapika km una akili timamu coz ana ushamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.