CCM hawana Chao Jimbo la Iringa

Leo taarifa ya habari ya itv wameonyesha mkutano wa CDM iringa lile nyomi ccm ingetumia fuso zaidi ya 300 kuwaleta
 
dah msiwashangae CCM kinachofanya wakose watu ni wizi, watu wamechoswa na unafiki lkn yupo Mungu asiyeshindwa Tz tumepewa magoti tupige nakumuomba yy atatusaidia
 
Yan nyaomi niliyo iona hapo iringa ni noma.

M4C ni noma kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
siku za Nepi kama katibu wa uenezi zimefika ukingoni. Ni bora afanye uamuzi mgumu. Kwanza ni kipindi cha uongozi wake ndiyo watu wanahama chama kwa mamia.
worse enough anatumia kauli za hovyo na matusi as he did at Iringa today. shame on HER.


usitumie jinsia kuonesha udhaifu wa mtu. kuna wanawake wengi sana nji hii wenye akili kuliko wao M.
 
CHADEMA ni kila Mahali hapa Tanganyika, Magamba matumbo joto, R.I.P ccm
 
Hiyo ni kutokana kua kila mtangaza nia akiweka mkutano mapokeo zero kwa wanananchi wa manispaa alianza mnec bwana madenge,jesca,na turufu yao bwana mwakalebela kilichomkuta na mpambe wake mh.lusinde a.k.a kibaji wanajua mpaka kuahirisha mkutano tunasubiri tumpe madiwani wakutosha oct
 
Yani mkakati mzuri wa Ukawa utaifanya CCM ikienda kwenye uchaguzi October washindwe kuamini wakati wa kuhesabu kura kwa sababu raia wengi wa below 45yrs wanaunga mkono Mabadiliko
 
Huwezi kupeleka giza penye nuru! Quote me, Msigwa ni equivalent na wabunge kumi wa CCM wanaojitambua!
 
Back
Top Bottom