MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

haya haya wajamani....!

nawashukuru kwa aidiaaz.....

naweza kusema nimepata mwanga fulani wa perceptions za ''computer-literates'' juu ya hili linalonisumbua kichwani mwangu....

mubarikiwe kwa pamoja wakuu

I LOVE YOU ALL!...

CIAO
 
SIO KWELI KWA  KUWA HILO HALIJAWAHI KUSEMWA NA MUNGU WAKATI WA UUMBAJI  WA VIUMBE, NADHANI HATA WEWE UMEZALIWA NA MWANAMKE
 
hehehe hii sredi bana teamo alikusudia kusema kwamba wanawake ni wasanii lakini ameamua kuzunguka zunguka kufikisha ujumbe.
Lawyer nimestukia!

ha ha ha ha!.......

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Teamo,

According to the holy scipture the bible that i know wanawake ni malango kupitia kwao tunapata watumishi wa mungu, viongozi, na watumishi wa shetani vile vile, kupitia kwa mwanamke tumepata mwokozi yesu kristo, wanashambuliwa sana kwasababu shetani anataka kupitisha vitu vyake na mungu vitu vyake ndo maana wamejaa kote ktk nyumba za ibada wale ambao mungu anawatumia na kwa waganga wale shetani aliowashika.
 
Teamo,

Mbona unakimbia wakati ndio jua linachomoza?

Hauwezi kuyamaliza kirahisi namna hiyo wakati "umenitukania mama yangu!

Leo tunataka ushahidi...vinginevyo ufute kauli yako!!

Bado sekunde tu, nitafikisha hili timbwili kwa Mh. Speaker!
 
Na huyu waifu wa jirani pia nazani mapepo yameanza kumpanda, majuzi tu ameanika nguo zake za ndani sehemu ya nje ya dirisha langu, halaf zinasisimua.
The Boss atakuwa yupo right tu.
 
heheeh mwalim mwenzio niko kwenye swaumu leo, utanifungulisha ujue, lakini nikiziangalia nakuwa najiskia kama earthquake kwenye meno halaf navibrate zile sehem zinazotofautisha jinsia zetu

Heee kumbe si madogo! Usije ukakatisha Swaum kwa kufikiria vibrations buree! lolz
 
heheeh mwalim mwenzio niko kwenye swaumu leo, utanifungulisha ujue, lakini nikiziangalia nakuwa najiskia kama earthquake kwenye meno halaf navibrate zile sehem zinazotofautisha jinsia zetu

Haki ya nani umeniacha nacheka peke yangu kama kichaa au nimepandwa na mapepo/majini!!!

Wallah vichwa vingine vimeumbwa maalum na kiwanda kilichovifyatua kilishafungwa na majengo kuzamishwa baharini!!

Babu DC!!
 
salaam wakuu wangu....!

it's been looong tyme since i posted a thread herein..!lakin haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada...!

STRAIGHT TO THE TOPIC:...

dahhhh, umeadimika bana....

huu mdahalo wako imenikumbusha jana kuna mtu alipost hapa jamiiforums ati hata kwa
adam na hawa, - "shetani" alimchagua mwanamke...pheeeewww!?
 
Back
Top Bottom