Pole sana mkuu kwa hatua hioo,baadae njoo pale kitambaa cheupe Sinza karibu na Dj mara moja tusherekeee ili swala.
Pia kuna pisi zitakuepo nitakuunganisha na mmoja..
Moja ya uzi taka taka nilioshuhudia weekend hii..!
Haya mtoa mada tuandalie na uzi wa wazee waliowaishwa kwenye kifo nanhao mabinti wadogo mfano mzee Mengi na Mzee Mrema…
Mwambieni Heche atume account nomba yake tumchangie aongeze gari lingine na wala hamna shida yoyote..
Kuwa mpizani haimaanishi ndo uwe masikini.!
Hata Raila Odinga kule kenya alikuwa mpinzani tajiri sana..
Cha kwanza wewe sio daktari, kwa muandiko huu wewe utakuwa Nurse au Co wa zahanati..
Alafu mkuu unaongelea madaktari gani hasa maana haujafafanua..
Halafu mkuu kila kazi duniani ni kujiongeza,embu fafanua unaongelea udaktari upi hasa hasa ..?
Sasa sisi makapuku tunataka na sisi tutibiwe hospital za viongozi?
Hata hizo hospital za kawaida kumudu malipo yenyewe ni changamoto..!
Sasa embu tuweni wapole..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.