HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 954
- 1,635
Upumzike Kwa Amani....
Hujambo binti wa maarifaKerne hii bado mambo ya ukabila 🤔
Shapeless ni nn mkuu
Sijambo mambooHujambo binti wa maarifa
Nimechoka kuwachamba sometimes acha tutumie polite language ila zinakuwa na kejeli ndani yake..!! 😹Aunty mpe jingine leo umejibu politely unakuja na comment heavy heavy
Mkuu unaongelea kupika ugali mgumu wa kukupa Constipation au??Mimi sio msukuma wala mchaga lakini kwa upande wa msukuma kinacho mponza ni ushamba tu lakin mengne yote yupo fresh. Tukija kwa akina mangi shda kibao, kwanza hawajui kupka, wapenda misifa hata pasipo, kujifanya wanajua na huku hawajui
Fresh aseeh, una hoja gani ya moto weekend hii madamSijambo mamboo
naongea jambo ambalo nimelishuhudiwa tena huku dodoma na hata kesi ni mimi niliisawazisha kwa kuwashauri la kufanya bro. You got me brouMopak hapa unaongopa sasa
Ngoja nitulie tuu niwachokoze wakinga uingie na defender kabisa 😂Nimechoka kuwachamba sometimes acha tutumie polite language ila zinakuwa na kejeli ndani yake..!! 😹
Nakuelewa hiyo ni tabia ya mmoja au baadhi na sio general jamii nzimanaongea jambo ambalo nimelishuhudiwa tena huku dodoma na hata kesi ni mimi niliisawazisha kwa kuwashauri la kufanya bro. You got me brou
😹😹😹 Nakuja na kifaru na mabomu ya kutosha..!!Ngoja nitulie tuu niwachokoze wakinga uingie na defender kabisa 😂
Nakuelewa by the way nafurahia comment zako aseeh😹😹😹 Nakuja na kifaru na mabomu ya kutosha..!!
Nenda jamii intelligence uzi wa kwanza kabisa utaona mkuuFresh aseeh, una hoja gani ya moto weekend hii madam
Haina nouma Uzi wako inabidi utenge muda ili ujifunze shukraniNenda jamii intelligence uzi wa kwanza kabisa utaona mkuu
ule sasa ndio ugali na unakuta umeiva na sio ule ugali unaokaa kama tapish la mbwa ukimaliza kula unakaa karibu na mlango wa choo. Ule ugali mgumu ukiula kama unahisi utakumbua wewe tafuta paipai kula mambo yote kwisha. Yo gor me bra!Mkuu unaongelea kupika ugali mgumu wa kukupa Constipation au??
lakin si tunaongelea machaga auNakuelewa hiyo ni tabia ya mmoja au baadhi na sio general jamii nzima
Sawa karibu 😊Haina nouma Uzi wako inabidi utenge muda ili ujifunze shukrani
Ndiyo ni wachaga, ina maana ni wote wenye tabia ulizosema au kufanya watu wanna ndiyo wachaga wote wanafanya ?lakin si tunaongelea machaga au