Recent content by ng'wanamakamya

  1. N

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    ... How long shall they kill our prophets, while we stand aside and look?
  2. N

    Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

    Kiukweli nami nimeboreka sana kwani nilisubiri kwa shauku kubwa kuona hali ya Dr. Ulimboka. BBC na VoA wametoa taarifa zao kuhusu tukio zima. But it is very amazing state tv inagbairi kutuhabarisha habari muhimu kama hii.
  3. N

    upungufu wa nguvu

    Shida nyingine ninayoiona ni kwamba hajataja umri wake. Umri pia unachangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa performance. Thiery Henry kabla hajaenda Barca na kisha NYRB alikuwa na kasi ya ajabu but juzi kati aliposajili kwa mkopo ungeweza kuona kabisa kasi haikuwepo. Kwa hiyo kushuka kwa goals...
  4. N

    Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

    Mie niliamini ungetujuza siri ya wao kuvusha watu bure badala yake taarifa yako haijakamilika. Ungetusaidia zaidi au ungeikamilisha taarifa yako kwa kutoa sababu za Kenya kuvusha watu bure. Arguments zako zingewasaidia Wabunge wa Mkoa wa Dar kujustify kauli zao.
  5. N

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Dr. Masaburi alimaliza kila kitu ila watu hawakumuelewa. He made it clear kwamba wabunge wa mkoa wa Dar wanatumia makalio kufikiria. Kauli zao kuhusu Dr.John Joseph Pombe Magufuli (MB) kuongeza nauli ya kivuko kutoka Tzs. 100 hadi 200 zimethibitisha hilo.
  6. N

    CRDB Bank mpaka kanisani!

    Jumapili ya tarehe 18 Desemba, 2011nilibahatika kusali misa ya kwanza katika Kanisa Katoliki la Mt. Patrice, Morogoro. Niliona maajabu ua kituko hali iliyonilazimu kuandika katika Jamii Forum ili niweze kuwashirikisha na kupata ushauri ma maoni ya wadau. Issue yenyewe ni kwamba benki ya CRDB...
  7. N

    A to Z ya kununua kwa njia ya mtandao

    Vipi kuhusu NBC ltd, nao wanatoa master card, je kuna yeyote mwenye uzoefu wa kununua online akiwa na card ya NBC atujuze! Natamani kununua vitabu but nakwama.
  8. N

    Antivirus kwa ajili ya simu.

    Ingia Ovi store zipo za kumwaga. Ukiacha kaspersky kuna F-Secure nayo iko poa.
  9. N

    Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

    Ulaji usiofaa na unywaji wa pombe umekuwa chanzo cha vitambi kwa wanawake. Pia wengi wao hawana mpango na mazoezi. Chips, kuku wa kukaanga, mayai, sausage nk vinapendwa sana na kina mama.
  10. N

    TRA - Assistant Tax Officer

    Watanzania wenzangu mnakatishana tamaa bure kuwa eti geresha au nafasi tayari ina mwenyewe. Hii ni dhana potofu na hasa kwenye ajira za Mamlaka hii. Nikiri kwamba nami nilikuwa na mentality kama zenu lakini baadae nikaja kuwa proved wrong. Niliona nafasi katika Mamlaka nikaamua kuapply ili...
  11. N

    Cheka unenepe:

    Watu weweeeee!
  12. N

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    siyo kweli. Tido amekanusha na kwamba kwa sasa anafanya shughuli zake!
  13. N

    Chuchu Sound

    kitendawili ...tega!.....meza kubwa meza, meza ndogo je? Walikuwa juu. Wimbo kama MARAFIKI nilikuwa naufeel sana na hasa pale Mao Santiago anapolalamika kisha kumpasia Omari Mkali akiimba '.... Omari Mkali sema'.
  14. N

    Before and after marriage.

    Sure, mwanzo huwa poa sana lakini siku zikishasonga tabu huanza. Be4 marriage maigizo huwa too much! Kula 5 mkuu.
Back
Top Bottom