Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

Kiukweli nami nimeboreka sana kwani nilisubiri kwa shauku kubwa kuona hali ya Dr. Ulimboka. BBC na VoA wametoa taarifa zao kuhusu tukio zima. But it is very amazing state tv inagbairi kutuhabarisha habari muhimu kama hii.
 
serikali ikifanya kosa kesho kutoa tamko baya au linalokwenda kinyume na matakwa ya madokta nadhani HALI ITAKUA MBAYA SANA maana madokta wana hasira sana na kuumizwa vibaya kwa kiongozi wao Dr Ulimboka.
binafsi ITV ndio televisheni yangu ya TAIFA nyumbani kwangu, upuuzi wa TBCCM nilishasahau.

Hongera, ila kweli kesho wakifanya makosa inakula kwao jumla
 
Nimeshtushwa sana na kitendo cha TBC kutotangaza mkasa uliompata Dr Ulimboka! Kwangu mimi ni sawa na TBC kumpiga Dr Ulimboka kwa mara ya pili baada ya hao walimtesa huko Mabwemapande. Sijui kama nitaangalia habari za TBC tena baada ya uhuni wa leo.

TBC ONE,UKWELI NA UHAKIKA! ukweli uko wapi? uhakika uko wapi? yaani wameniudhi sana.
hawatumii akili, waliojaribu kutetea kuwa sio serikali sasa wanapata majibu.kwa nini washindwe kureport?
kujilaanisha tu,kujipendekeza kwa serikiali(inawezekana hata hawaambiwa wasireport ila kihele hele cha watendaji wao.MKURUGENZI wa TBC dhaifu,wafanyakazi wa TBC dhaifu, habari zao dhaifu,mitambo yao dhaifu.mnaudhi sana.

 
Jamani mbona wametangaza na nchimbi akaongea. Mara mnasema mlishaacha kuangalia TBC1, mara hawaoneshi, mnajuaje sasa.

Muda gani wewe wameionyesha, yani katika magazeti kesho itakuwa habari kila ukurasa wa mbele wala c katikati wala nyuma , vp tbcccm
 
Current news kama hii kila media imeripoti kuhusu utekaji huu na unyama aliofanyiwa dr. Ulimboka lakini why Tbc hamjaripoti kulikoni? Kunani nyuma ya pazia?

Hiyo ndio ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni......nimewashangaa sana kwa kweli!.....nao pia siku zao zinahesabika kama hao mabosi wao ccm
 
asante mwanzisha uzi kwa kunijulisha kuwa TBC ccm hawakutangaza habari ya dr. ulimboka, huwa siangalii hiyo TV na sijui kama huwa ipo
 
MKURUGENZI wa TBC
dhaifu,wafanyakazi wa TBC
dhaifu, habari zao
dhaifu,mitambo yao
dhaifu.mnaudhi sana
kwenye rangi hapo nimepapenda sana.
 
Mimi leo ki roho swaafi nili tune itv na wamenikosha kwa vile walivyo present.
Nashauri tufanye mgomo wa kuisusia hii tbccm!
 
Wametangaza kuwa 'eti' serikali imeahidi kuwachukulia hatua 'baadhi ya madaktari' waliogoma hapo kesho siku ya alhamisi. Kwenye katiba yafaa tuombe TBC isitumie pesa za watanzania walipakodi labda ipate pesa kutokana na makato ya mawaziri na wakuu wa idara za serikali ambao ndo wanaitumia kufikisha ujumbe usiohitajika kwa watanzania wengine. Ogopa TBC sawa na homa ya mapafu. Inasikitisha sana kuona aina ya taarifa zilizotolewa wakati inajulikana Dr. Ulimboka ameumia vibaya sana. Hii ni aina nyingine ya hakikisho kuwa Dr. Ulimboka kaumizwa kwa mkono wa serikali vinginevyo wasingefanya 'sensoring' ya taarifa juu yake. TISS on work!
In my own country I real hate two organs TBC and CCM than anything.
 
Namkumbuka sana TIDO Mhando maana yeye ndiyo alifanya niwe naiangalia lakini toka aondoke sioni kitu jamani maani imekuwa TV ya CCM na Si ya watanzania wote.
 
Back
Top Bottom