A to Z ya kununua kwa njia ya mtandao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A to Z ya kununua kwa njia ya mtandao

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndebile, Sep 15, 2011.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  kwa mara ya kwanza nilishindwa kutuma India US dolla 350 kulipia cd rom za Chand nilizonunua online kisa sina Master Card, VISA, nk nina ka akaunti kangu benki ya wavuja jasho. Nilipotaka kutuma kwa njia ya Money telegram niliambiwa kiwango cha chini cha ada ya utumaji ni dollar 500! Hivi watanzania wa kawaida hatuwezi kununua online?
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana Ndebile,cha kufanya fungua akaunti crdb au backlays au benki yoyote nyingine itoayo visa/mastercard.
  kwa crdb watakupa kadi na utazisajili kwa matumizi ya online then utaanza kufanya manunuzi bila wasiwasi.
  backlays wakikupa kadi moja kwa moja wanakuwa wameiunganisha.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  swali zuri sana subiri waje wajuzi
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wanakulindaje na Cybertheft?
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi nina PayPal account ambayo nime link na mastercard ya CRDB. Kwa hivyo nikinunua kitu online ninalipa kwa kutumia account ya Paypal ambayo ni kama bridge kati ya muuzaji na account yangu.

  QUOTE=Mkeshahoi;2503953]wanakulindaje na Cybertheft?[/QUOTE]<br />
  <br />
   
 6. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #6
  Sep 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baclays ni lazima iwe ya dollar?
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapana,waweza fungua kwa tsh.
  Kufungua akaunti ni laki moja...ila unaweza draw 80000...uzuri backlays kadi wapata ndani ya siku 3-4.
  baada ya hapo waweza nunua online.
  Crdb wanachukua wiki mbili hadi tatu kutoa kadi.
   
 8. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  asante sana dushelele kwa msaada wako kweli JF Kisima cha maarifa! Vipi charges zinatozwaje? yaani kila unaponunua online unalipa charge kiasi gani?
   
 9. e

  emajogoro New Member

  #9
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ninazopata hapa ni very useful kwa kweli jf kuna elimu ya kutisha kabisa.
   
 10. JZHOELO

  JZHOELO Senior Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  kwa ninavyo sikia ni kwamba paypal ndo the best,ila nimejaribu maranyingi lakini wanakataaa kuactivate kadi yangu ngoja niangalie ustaarabu wa barclays.
   
 11. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari za miaka Preta! A-town hamjambo?
   
 12. i

  iMind JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ukitumia paypal unalipa zaidi, kwa sababu banker wako anaweka chaji zake, visa/mastercard wanachukua chaji zao na paypal pia anachukua cha kwake. Mimi nina account maalum kwa ajili ya online purchasing. Nilikua natumia crdb visa lakini crdb rate zao za dollar ni mbaya sana, hivyo nimehamia baclays. kwenye account hii naweka pesa pale tu ninapotaka kununua kitu na kwa kiasi kile ninachotaka kutumia ili kujilinda na cyber crime.
   
 13. n

  ng'wanamakamya Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vipi kuhusu NBC ltd, nao wanatoa master card, je kuna yeyote mwenye uzoefu wa kununua online akiwa na card ya NBC atujuze! Natamani kununua vitabu but nakwama.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Itakubidi kwanza uprove crewdibility ya hiyo kampuni unayotaka kununua, vinginevyo lazima uwe na Mastercard au visacard. Kwa hapa bongo sijajua ni bemki gani imeingia ubia na makampuni ya kibiashara!
   
 15. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi this is my recent experience in online payment/purchasing:

  1. Nina debit card ya barclays ambayo nimeilink na PayPal
  2. Nimefanya payment through Visa direct ambapo ilikataa ndio nikaamua kujiunga na PayPal
  3. Baada ya kujiunga na PayPay within minutes jamaa akanifahamisha amepata pesa.
  4. What exactly happen is that after linking your card na PayPal unaingia kwenye account yako uliyofungua na PayPal (kufungua account na PayPal is free go to paypal.com then follow instruction) then muuzaji atakuwa amekupa e-mail yake ya PayPal ambayo inatumika kupokea pesa after that unaingiza kiasi cha fedha it's done. Sasa kama una Tsh.kinachofanyika Visa wanamlipa jamaa then wanaangalia rate inayoapply kwa siku ile then ndio wanaku debit kwenye account yako.
  5. Uzuri wa PayPal ni more secure na very fast, kwa mfano mimi nilipofanya hiyo transaction nikagundua jamaa ni tapeli ni ka loge complain at the end of the day nilirudishiwa pesa zangu kitu ambacho kama ningefanya direct kwenye visa card yangu nisingeweza kuipata tena pesa yangu.

  All in all nawashauri wote wanaotaka kufanya online transaction wajiunge na PayPal coz it's fast and very secure mode of payment. Another thing to be alert is that always angalia address bar yako ikiandika Https ndio secure unaweza kuingiza namba zako za master card au visa unless ukiona kuna only Http bila ya S which means the page is not secure usiingize hizo namba za kadi zako wajanja watakuibia pesa zote.

  Hope this Help.....................
   
 16. c

  changman JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtu wangu tumia Paypal. Kutokana na cyber crimes nakushauri usiitumie kadi yako ya benki online. Ukijiunga paypal wanakupa account yao ya benki unawatumia kiasi cha pesa unachotaka kiwe kwenye account yako ya paypal. Unawatumia hela kwa njia ya bank wire transfer. Unaenda bank bongo wanakusaidia kutuma hizi hela kwenye account ya paypal. Then baada ya siku mbili ukiangalia kwenye account yako ya paypal unakuta balance yako. Sasa unaanza kununua vitu na kureceive payments moja kwa moja kwenye account yako ya paypal. Kadi yako inakuwa salama nyumbani. So tuseme hata kama paypal ni matapeli wakaila dola 350 yako uliyowatumia ni bora kuliko mtu kupata information za kazi yako na kusafisha kila kilicho ndani yake! BTW paypal sio wezi ni kampuni inayoheshimika duniani nimekuwa nikiitumia kwa mwaka sasa.

  Na siku hizi nasikia kwamba ukifungua account crdb wanakupa username na password so unakuwa unatuma hela popote pale kwa kutumia komputa bila kwenda physical benki kutuma hiyo wire transfer kwenda paypal.

  Nadhani imekusaidia.
   
 17. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Miaka zaidi ya mitano sasa natumia paypal na sijawahi kulizwa hata siku moja sema inabidi kuwa makini tu ndio kitu cha muhimu hapo.....
   
Loading...