- People, please suala la Tido na TBC lilikuwa ni la ajira na sio siasa, ni mambo madogo madogo kama haya ndio yanaturudisha nyuma sana hili taifa na huenda ni kwa sababu ya umasikini zaidi kwa sababu kazi yoyote unayoipata kwa ajira ya mkataba, maana yake ni kwamba mkataba ukiiisha umeisha ni uamuzi wa muajiri wako kuamua kama atakuongeza muda au hapana na wewe muajiriwa unatakiwa kuwa umejitayarisha kubaki au kuondoka!
- Tanzania tumezoea hisia za kuhamia kabisa kwenye kazi tulizoajiriwa kwa mkataba na kuamini kwamba ni zetu na ni lazima waongeze tu mkataba ukiiisha, hapana people waajiri wako wana haki kisheria kwenda njia tofauti kama wanaona hauko sawa na line yao ya sababu za kuwepo kwao kwenye biashara, inatakiwa kuwa kawaida sana hiyo na nothing to do na anything, Tido who is my very good friend, aliajiriwa na TBC kwa mkataba ambao uliiishia kwenye ku-renew, waajiri wake wakasema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti, sasa what is the problem hapo?
- I mean kwa mwendo huu Tanzania, itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, umeona juzi Oprah, mkataba umeisha na ABC, ameamua kwenda njia yake mwenyewe badala ya kulilia kupewa mpya, ndio maana ya mkataba Lebron, mkataba ulipoisha na Cleveland, akaamua kwenda The Heat, ndio maana ya mkataba wa ajira, TBC hawakumkosea Tido na wala Tido mwenyewe hajawahi kulalalmika kwamba amekosewa!
- So what is the fuss for?
Willie @ NYC, USA.