si kweli kuna wengine wanakula ugali maharage na wanavitambi,hili ni swala la maumbile tu,sema gym zetu zingekuwa rahisi wangeenda hukomambo ya michemsho hayo na bia za buree!
hapo itakuwa sio kumaintain shape bali ni kuja kuwa mabaunsa,Siku hizi kuna tabia ambayo si nzuri na siipendi kiukweli,wanawake wengi wanavitambi kitu ambacho kinaharibu shape zao na kuwafanya waonekane hawana mvuto.mbaya zaidi siku hizi hadi mabinti wadogo kabisa nawenyewe wanavitambi kitu ambacho huwaaribia shape zao na kuwafanya ata nguo zisiwakae vizuri.nawaomba wanawake hasa mabinti mjitahidi kufanya mazoezi ya kuondoa vitambi ili mmentain shape
zenu na kuongeza mvuto.hii ni nzuri kwenu na kwa wenzi wenu.ni hayo tu kama nimewakera sorry
Siku hizi kuna tabia ambayo si nzuri na siipendi kiukweli,wanawake wengi wanavitambi kitu ambacho kinaharibu shape zao na kuwafanya waonekane hawana mvuto.mbaya zaidi siku hizi hadi mabinti wadogo kabisa nawenyewe wanavitambi kitu ambacho huwaaribia shape zao na kuwafanya ata nguo zisiwakae vizuri.nawaomba wanawake hasa mabinti mjitahidi kufanya mazoezi ya kuondoa vitambi ili mmentain shape
zenu na kuongeza mvuto.hii ni nzuri kwenu na kwa wenzi wenu.ni hayo tu kama nimewakera sorry
<br />Hakuna kitu kama hicho.Wakati mwingine mtu yupo fiti lakini shughuli inakua ya tabu,itakua mtu ana kitambi kama gunia?mimi naamini kila mwenye kitambi hawezi kazi,labda kama anatumia nguvu za ziada
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">mmmh......nyie hamuoni vitambi vyenu a a....mnaona vya wenzenu......tena laiti mngejua hivyo vyenu vinavyoboa......mngevipunguza.....</span></font></font>
hahahaha! Tena mi wenye vitambi siwapendi hata robo.lol.