Recent content by Nevo

  1. Nevo

    Nikaribisheni

    [emoji51][emoji51], kwani wakati anajitambulisha hujasoma vzri.... Yeyote aliyekaribu na wewe akupe konzi kwa niaba yangu....hahahah Nevo255
  2. Nevo

    Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

    Kwahyo angekuwa Waziri isingekuwa fedheha?? Nevo255
  3. Nevo

    Lain za chuo airtel

    Kwahyo, jamaa alitaka kututapeli sio [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
  4. Nevo

    Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

    Kwani hyo nafasi alipata mwaka huu?? Si tangia mwaka jana... Sasa iweje leo watu waone wivu?!...
  5. Nevo

    Mwenye kujua zaidi juu ya ma agent wa kazi USA

    Are you sure na hili mkuu[emoji52][emoji52]
  6. Nevo

    Mwenye kujua zaidi juu ya ma agent wa kazi USA

    Kabisaaa, mtu hakujui, akukatie ticket bure, leseni bure, malazi bure, work permit bure!!!?!!... Naeyeye akaamini hahaha... My friend, bora unipe mimi hyo $700 ujue umemsaidia Mtanzania mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-J320F using JamiiForums...
  7. Nevo

    Msaada: kuna umuhimu wa kuattach certified Intelligence Aptitude Test?(IAT)

    Ulikuwa shortlisted na Matapeli, sio NGO... Bt jamani unapaswa kujua kuwa hakunaga shortlisted person anayetakiwa kutoa pesa yeyote ile kwa ajili ya kitu chochote kwa ajili ya interview... Sijui verification, mara nni... Hakunaga hicho kitu!
  8. Nevo

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zumbemkuu umenimaliza leo aisee...
  9. Nevo

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
  10. Nevo

    Kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini ya BM inatoa ajira

    Comment za humu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Nevo

    Msaada wandugu-tofauti ya "cover letter" na "application letter"

    Cover letter na motivation letter ni kitu kimoja, kwani zote ni official letter zinazotakiwa kucontain brief introduction about yourself, brief backround na kwanini unaona unastahili kupewa hiyo kazi... So you have to be creative kuonyesha skills zako zitakuwa na faida gani na mchango gani unapo...
  12. Nevo

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Hizo supp ulipata baada au kabla ya viwango vipya viliyotolewa na T.C.U..? Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
  13. Nevo

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Nyumba ya chini ya kawaida Million 350.... Mhhh....
  14. Nevo

    Mawakili wetu kuvizia 'technicalities'

    Why go through the whole trial wakati P.O ipo mbele yako... Hahaha
  15. Nevo

    Uendeshaji wa Kesi ya kosa la jinai dhidi ya Jamhuri

    Umemjibu vzri sana, swala la shaidi kusema kuwa Fulani nilimwoni siku Fulani isikutishe... Kila shtaka ina defence yake, ni muhimu upate ushauri kwa wakili au ata my anasheria ujue defences which are avail kama defence ya Umemjibu vzri sana, swala la shaidi kusema kuwa Fulani nilimwoni siku...
Back
Top Bottom