Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Omba talaka uhamie kwa mkata kucha
 
Kwahyo angekuwa Waziri isingekuwa fedheha??

Nevo255
 
Na ukiendelea kufanya tendo la ndoa mumeo ilihali sio baba wa Kiumbe hicho ataweza kusababisha ujifungue mtoto Mwenye mabaka meusi kwa sababu ya shahawa za mumeo zinakuwa zinaunguza mfuko wa mimba kwani hizo hazitakuwa rutuba kwa Huyo mtoto ila endelea kumpa uroda msaficha kucha ili aendelee kutoa rutuba kwa Mwana huyo kwani ndio muhusika wa ujauzito
 
Pili mumeo humpendi kwa nn ukimsaliti kwa ashki kidogo kidogo eti MTU kakusifia bikini yako inawezekana kabisa huo ni mchezo wako kwani wasaficha kucha kuona hizo vitu kwao kawaida na huo umalaya kwa ninyi wanawake wa style kama yako pale ulipo mpa siku ya kwanza najua hukulipa na siku ya Pili hivyo hukulipa na ya tatu pia vivyohivyo hukulipa ila yeye atakuwa alikulipa bila shaka
 
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".

Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lakini kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.

Kiukweli sina sababu ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwanini nilimsaliti mume wangu. Sina sababu ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.

Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi katika nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili. Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lakini nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kivile.

Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba niliyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mimi, mume wangu na wazazi wangu.
Msafisha kucha ujuzi uliongezeka hadi kusafisha vitu vingine. Katika eneo hilo mwanamke kamwe huwa hana uzalendo. Kama aliweza kumtii nyoka akamkiuka mungu sembuse ndoa yake dhidi ya msafisha kucha.
 
Mungu akusamehe tubu na jiachilie kwa mumeo omba radhi mbele zake na urudie muumba wako madam
 
Back
Top Bottom