Abby Senior
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 154
- 60
Naomba kufahamishwa wadau kuhusu hawa maagent wa online wa USA , eti kulingana na security ya marekani Mara nyingi ni wa kweli kulingana na security ya inchi hiyo.
Maana kuna kijana aliona post ya mama mmoja yupo USA anahitaji wapishi, watumishi wa ndani, madereva nk.
Yeye aliomba udereva. Akafanikiwa baada ya kupeleka cv yake, kijana akaletewa na mama makubaliano kama mshahara $4000 na benefits nyingine Na yuke mama alimkabidhi kwa agency iliyopo huko, akatumiwa forms akajaza Yule mama(host family) alimpatia kijana namba ya land line na mobile namba yake.
Wale maagent wanataka fee ya $700 kwa ajili ya registration na documents processing na huyu kijana wanawasiliana na ile host family kwa simu Mara kwa Mara.
Je vipi kijana anaweza kufanikiwa na hawa ma agent inawezekana matapeli, au kuwa na mobile namba ya host family inawezekana kuwa ni ishu ya kweli?
Naomba msaada kujua<>Host family itampa offer kijana free ticket, work permit, free medical, free licence, free accommodation nk
Wazoefu tunaomba mchango wenu kwa hili.