soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,104
Salam wakuu!
Nimekuwa shortlisted kwenye NGO flan hivi hapa Dar, wamenitumia staff entry assessment form ili kuijaza. Ila kikubwa kinachoniumiza kichwa Ni hii inshu ya kuattach certified Intelligence Aptitude Test (IAT). Je kuna ulazima wa kuwa na hio certified IAT? Maana nimefatilia jinsi ya kupata certificate yake ni $72 (Tshs184,226). Hakuna utapeli wowote hapa?
Msaada tafadhali!