Johalem
Senior Member
- Sep 24, 2013
- 118
- 14
Marafiki zangu wana kesi ya kosa la jinai dhidi ya Jamhuri ktk mahakama ya mkazi Kisutu.
Shtaka lao la kwanza ni kula njama ya kutenda kosa la jinai
Shtaka la pili kufanya mkusanyiko usiokuwa halali
Walisomewa mashtaka na kuyapinga yote na mara ya mwisho wamesomewa ph na wote walikana.
Naomba hatua inayofuata ni wakili wa serikali kuleta mashaidi. Je, washtakiwa itabidi wafanye nin siku hiyo? Je, watakuwa na mwanya wa kujitetea?
Ushaid utachukua muda gani?
Naomba kufahamu pia masuala mengine muhimu yote wanayotakiwa kuyafahamu.
Nitashukuru sana.