Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

Kwa hali ilivyo sasa, ni wazi kabisa kuwa Paul Makonda atajiuzulu au atatenguliwa!

Jamani huyu jamaa anatia huruma sana ,Tumsamehe kama taifa kwani hiyo video mwisho makonda analia kwa uchungu sana.
Yeye amelia kwenye video wapo wengi sana wamelia tena mpk kamasi zikawatoka masikini wengine walibakiza mda mchache tu kustaafu wakatunbuliwa na mafao wakakosa!! Yeye anavyohangaika Leo kanisani kesho msikitini wapo wengi sana walihangaika kama yeye na wengine wana vyeti halali waliongeza D moja tu kwenye vyeti zao hawakua na fa fa fa kama inavyosemwa kwa muheshimiwa!!
 
Vita ya madawa ya kulevya ipo pale pale, waambieni madoni wenu wa madawa waliowatuma kupunguza makali wamefeli, tutapigana vita to our last breath

Utapigana ww na makonda au hujajua kuwa mwenye kazi yake cammisioner wa madawa ya kulevya alishateuliwa na anaendelea na kazi kama sheria yetu inavyomtaja
 
Hili suala la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam limefikia mahali pabaya!

Wapo watu wanaoamini kuwa limepoa na litapita, lakini ni kwamba kwa namna ambavyo ukweli unavyozidi kutafutwa ni dhahiri kabisa kuwa mambo makubwa zaidi yatabainika na kuwekwa hadharani!

Naamini mda mfupi ujao lazima atajiuzulu au utatenguliwa na bila shaka sheria itachukua mkondo wake!
kwa kweli hili suala la makonda limeanza kuwa na bad taste, na kwa kweli kwa ujio wa bunge in april sioni mwisho wake anytime soon. ingawa in principle najua kutumia cheti cha mtu ni kosa but i should think mtu aliyetumia cheti cha mtu kujiendeleza kielimu, and actually achieves something out of it, deserves a bit of credit tofauti na yule aliyefoji cheti kupata ajira. binafsi siufahamu ukweli ila nawaza tu ni wangapi waliopata zero formIV lakini waka struggle and move on to achieve what makonda has achieved. perhaps this drive, this need to achieve ndio inamfanya awe na uthubutu wa kuyafanya haya anayofanya. just thinking out loud
 
the rise n fall of Gen. Bashite
 
Hawezi jiuzulu na uteuzi wake hautatenguliwa hata kama ni kweli kaghushi vyeti.Sana sana kelele zikizidi atapandishwa cheo na kuwa waziri kbs.
HAYO YA KAWAIDA KWA CHAMA PENDWA
 
Kama rais atafanya hivyo basi ataonekana ana ubaguzi kwa sababu suala la kuhakiki wa vyeti limepigiwa kelele na sana na hawamu hii na wapo waliofikishwa mahakamani na kuacha kazi kwa sababu ya kufanya udanganyifu wa kitaaluma. Sheria ni msumeno.

Upo sahihi kabsaa
 
kwa kweli hili suala la makonda limeanza kuwa na bad taste, na kwa kweli kwa ujio wa bunge in april sioni mwisho wake anytime soon. ingawa in principle najua kutumia cheti cha mtu ni kosa but i should think mtu aliyetumia cheti cha mtu kujiendeleza kielimu, and actually achieves something out of it, deserves a bit of credit tofauti na yule aliyefoji cheti kupata ajira. binafsi siufahamu ukweli ila nawaza tu ni wangapi waliopata zero formIV lakini waka struggle and move on to achieve what makonda has achieved. perhaps this drive, this need to achieve ndio inamfanya awe na uthubutu wa kuyafanya haya anayofanya. just thinking out loud
Alitakiwa ku-resit na sio kuchukua cheti cha mtu mwingine.kumbuka Kati ya waliotumbuliwa kwa kuwa wana vyeti feki ni hao waliotumia vyeti vya watu vya form 4
 
Hili suala la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam limefikia mahali pabaya!

Wapo watu wanaoamini kuwa limepoa na litapita, lakini ni kwamba kwa namna ambavyo ukweli unavyozidi kutafutwa ni dhahiri kabisa kuwa mambo makubwa zaidi yatabainika na kuwekwa hadharani!

Naamini mda mfupi ujao lazima atajiuzulu au utatenguliwa na bila shaka sheria itachukua mkondo wake!
Endelea kuomba na kufunga huenda ikawa.
 
Jamani tusitoane kwenye mada. Naomba tukamilishe hii mada ya Bashite kwanza. Tafadhali kila mmoja apige kelele.

Watumishi wa umma tumeumia sana tena sana. Serikali imefanya uhakiki wa ovyo hovyo kabisa.

Wengine tulisafiri siku nzima kwa ajiri ya uhakiki tena kwa gharama zetu. Tunaomba sasa serikali itende haki. Uhakiki ufanywe kwa viongozi wote wa umma bila kumsahau Makonda/ Bashite.

Kusisitiza jambo hili Kila anayekomenti uzi huu asiache kumsisitiza ndugu Bashite kuweka cheti mezani.

Popote unaopoandika iwe Fb, whatsapp, Jf na kwingineko naomba kelele hii ya kumsisitiza huyu ndugu kuweka cheti mezani isiachwe kupigwa
# Weka cheti mezani #
Bashite sasa ataweka cheti alichonunua south africa maana alijua akinunua bongo watamtumbua.daah hoi noma serikali imeshika mpini kisu kinakata walala hoi tu e mungu tusaidie Tanzania yetu iwe na viongozi wa kweli.
 
Alitakiwa ku-resit na sio kuchukua cheti cha mtu mwingine.kumbuka Kati ya waliotumbuliwa kwa kuwa wana vyeti feki ni hao waliotumia vyeti vya watu vya form 4
True dat! Wapo pia waliokimbia sehemu zao za kazi, bado sihukumu kwa kuwa siujui ukweli but sometimes wakijazana mlangoni na kuna moto hata wewe hautatokea dirishani...nawaza tu ujue
 
Unajuwa katika maisha kuna njia nying sana za kupambana " kiukweli mi sion kosa la jamaa kama kweli alifanya ivyo kama tuhuma znavyoeleza " lakin kiupande mwingine jamaa ni shujaa kwa sababu alipambana mpka akahakikisha amepata njia ya kutokea maisha" kwa hiyo kila mtu ana njia yake ya kutokea maisha" issue sio vyeti hapa kwakwel tuwe wawazi tu issue ni kiti alichokalia watu kinawauma sana inamaana ni wivu na husuda tu za watu" wangapi wamefoji vyeti kwenhe makampun huko" wangapi wanatumia njia haramu za kutoka maisha watu wanawafanya misukule watoto wazazi na hata ndugu na jamaa hamuoni hao kama wanatenda dhambi" wangapi wanapesa haramu chafu katka nchii ni kwa nn awa jamaa kila cku mtu ukiingia tu kwenye mitanda kwa nni hamumuach jamaa bahat ya mwenzako usilalie mlango wazi ebu tujadilin mambo mengine kila cku jamaa tu kafanya hivi jafanya vile ## aaaaaaah mnaboa jamani mwachen jamaa wawatu
Kwani hyo nafasi alipata mwaka huu?? Si tangia mwaka jana... Sasa iweje leo watu waone wivu?!...
 
Back
Top Bottom