Lain za chuo airtel

Bei gan unauza ww mm rafk yangu kanunua 2000 ,na wewe bei gan ,,na nilikonunua 2000 nitawadirect member wengne ww ukiwa na bei zaid
 
Yeye amesema anaehitaji,sasa ww kama hauitaji kaa kimyaa

Ndio kabisa, maana hata mimi sijawahi kujua kama kuna line za airtel za chuo, kwa hiyo pengine angenambia zina faida na zauzwa 5000 ningeweza nunua, mwache dogo atengeneze kipato chake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom