Ongezea na motivation letterKwa wazoefu jamani naomba kufahamu tofauti ya hizo barua mbili huwa najichanganya sana kwenye kutuma maombi
Zote sawaKwa wazoefu jamani naomba kufahamu tofauti ya hizo barua mbili huwa najichanganya sana kwenye kutuma maombi
Thanks a lot MkuuCover letter na motivation letter ni kitu kimoja, kwani zote ni official letter zinazotakiwa kucontain brief introduction about yourself, brief backround na kwanini unaona unastahili kupewa hiyo kazi... So you have to be creative kuonyesha skills zako zitakuwa na faida gani na mchango gani unapo omba kazi
Application letter on the other hand ni official letter yakuomba kazi. Hivyo ni official request ya kazi. Haina maelezo mengi na inasimama yenyewe, kwa maana haitaji kuwa accompanied na C.v
Nimeunganisha jibu pia in response na comment ya kwanza katika thread hii.