Recent content by Netanyahu

  1. Netanyahu

    Bakwata na siasa za uswisi

    BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Waislamu nchini na wapenda amani kususia bidhaa na huduma zote kutoka Uswisi. Tamko hilo limetokana na hatua iliyochukuliwa mwaka jana na Serikali ya Uswisi kupiga marufuku ujenzi wa minara ya misikiti nchini humo na kwa mujibu wa kura ya...
  2. Netanyahu

    Magaidi wa Alshabab na Tanzania wapo?

    Kundi la magaidi wa Somalia la Alshabab limetishia kupiga Bujumbura na Kampala.Kundi hili ni tawi la Alkaida la Osama Bin Laden.Makundi yote haya huamini utumiaji wa njia haramu ili kuweka serikali ya kiharamia iliyojificha nyuma ya uongo wa kisingizio cha kusimika serikali za kiislamu.Wana...
  3. Netanyahu

    Mtanzania kwenda anga za juu; gazeti lasema "mwezini"!

    Na Festo Polea 10/16/2009 ASHISH Thakkar anatarajia kuwa Mtanzania wa kwanza kwenda mwezini wakati atakapofanya safari hiyo mwakani. Mtanzania huyo, ambaye ni chotara wa Kiingereza alienda Ikulu jijini Dar es salaam jana kumueleza Rais Jakaya Kikwete kuhusu safari yake na kumuaga...
  4. Netanyahu

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Huyu mbunge ana data za kushangaza katika makampuni makubwa aliyoonyesha yatapata hasara kubwa ni Twiga cement.Twiga cement mitambo yake inatrgemea zaidi gesi si umeme wa Tanesco katika uzalishaji wake hizo data za kusema hasara inakuja kwao kubwa mchumi koko wa Dowans? Ambaye hajui kuwa...
  5. Netanyahu

    Pinda sasa ageukia mavazi awataka Watanzania kuachana na suti

    Pinda yuko sahihi kuvaa suti ni gharama mno kwa uchumi wa nchi na ni kumaliza pesa za kigeni.Kwa nini na sisi tusivae nguo za batiki na vitenge zinazotengenezwa na viwanda vyetu na pamba yetu humu humu nchini. Kuvaa nguo zetu wenyewe kungesaidia kupanua viwanda vya ndani,vya ushonaji n.k na...
  6. Netanyahu

    Serikali na JWTZ waige Eritrea

    Hata dicteta Idd amin ana vitu vizuri vya kujifunza kutoka kwake mfano alipofukuza wahindi Uganda waliokuwa wakimiliki njia kuu za uchumi njia hizo kuu za uchumi zikiwemo maduka alikabidhi waganda wazishike mali hizo na hadi sasa zipo nenda kaone Uganda tofauti na Tanzania ambayo ilipotaifisha...
  7. Netanyahu

    Serikali na JWTZ waige Eritrea

    Nilibahatika kuwemo katika msafara wa wapiganaji wa misituni wasiokuwa na kombati wala vyeo wala pasipoti kutembelea nchi zinazoongozwa na maraisi waliokuwa wapiganaji wa misituni za Rwanda,Sudan Kusini na Eritria ili kujifunza kama viongozi hao wapiganaji wa zamani kama wana uwezo wa...
  8. Netanyahu

    Bongo Dar es salaam, inafundisha jamii au inapotosha?

    Television ya serikali ya TBC imekuwa ikirusha kipindi cha maigizo kiitwacho BONGO DAR ES SALAAM Kipindi hili kimekuwa kiki-u-promote na ku-brand jiji la Dar es salaam kama jiji lililo la matapeli ambalo kila mtu ajaye huko dare s salaam kutoka nje ya Dar es salaam ajitahadhari na atumie ubongo...
  9. Netanyahu

    Kifo cha retired major generali James Luhanga

    Kama mpiganaji wa porini nipo nikiwaza nchi itapata lini wapiganaji wazuri na ambao ni wazalendo kama mheshimiwa Luhanga aliyefariki jana ambaye alimfanya hadi Marehemu Raisi wa Msumbiji Samora Machel atembelee mkoa wa Iringa na atoe hotuba ndefu ya masaa matano kwenye uwanja uliopewa jina la...
  10. Netanyahu

    Kinondoni kutawala nchi si sahihi

    Kuna mdau aliniletea taarifa za kutisha kuhusiana na wilaya ya kinondoni mkoani Dar es salaam.Akaniambia wagombea wote wa Uraisi wa vyama vyote vya siasa wana nyumba na makazi yao ya kudumu wilaya ya Kinondoni.Mawaziri na manaibu waziri karibu wote wana makazi yao na nyumba zao za kudumu wilaya...
  11. Netanyahu

    Nchi zilizotawaliwa na mfaransa zipinduliwe

    NCHI ZILIZOTAWALIWA NA MFARANSA ZIPINDULIWE Hivi mkoloni wa kifaransa alikuwa na matatizo gani.Nchi alizotawala mfaransa zinazoongea kifaransa zimejaa mapinduzi na migogoro ya kivita isiyoisha.Anzia Afrika mashariki viinchi kama Rwanda na Burundi fujo tupu ukienda Afrika ya kati nchi zote...
  12. Netanyahu

    Vita vya Kagera tulipigana na Libya (Gadafi)

    Nakumbuka sana vita ile na ndio ilinifanya niache jeshi baada ya kumtukana matusi ya nguoni mkubwa mmoja jeshini kwa kuwa alituzuia tusimkamate Idd Amini wakati tulishamzingira kisa eti mwoga Nyerere aliogopa eti reaction ya waarabu ingekuwa mbaya kwa nchi kwa kuwa walimtishia kutoiuzia mafuta...
  13. Netanyahu

    Rais ampe nishani Charles Kimei

    Ni muda mrefu sikuweko nchini niliporudi kwa likizo nilishangaa kukuta Benki ya CRDB ambayo niliicha ikiwa ni shirika la umma iliyokuwa hatarini kufa wakati naondoka ikiwa benki imara ya ajabu ambayo ilikuwa na uwezo wa kushindana na mabenki makubwa ya nje kwa huduma za kisasa za kibenki...
  14. Netanyahu

    Kakobe apinga nyaraka za viongozi wa dini; akemea kauli ya Pengo

    Nimesoma katika mtandao kuwa Kakobe kamkemea Kikwete kuwa ni mpole mno kwa kutokemea nyaraka za Katoliki na waislamu kuwa waziache. Namshangaa Kakobe kweli ni mnafiki.Mbona hakumkemea Kikwete na serikali yake ilipopeleka mjadala wa kadhi bungeni? Kwa nini hakumuuliza kIngunge kwa nini...
  15. Netanyahu

    GE2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Watu watofautishe kuwa somebody katika bunge na kuwa somebody katika Chama.Mwakyembe ni somebody katika bunge lakini he is nobody katika CCM akigombea uenyekiti leo CCM pamoja na umaarufu wake katika bunge usishangae akatoka na kura mbili akabwagwa na kingunge au makamba who are nobodys katika...
Back
Top Bottom