Recent content by NEHMA

  1. N

    Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Duuh! Sio kwamba bei imeporomoka ni kwamba bei ya sasa ina uhalisia kuliko ya zamani. Tatizo ni kwamba watu walishazoea kuibiwa kwa kupigwa bei za juu.
  2. N

    Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Hahaa pole sana aisee. Ila kujibu mapigo chukua hizo message mtafute mke wa huyo jamaa muonyeshe zote wakati pressure zimempanda muombe uzishushe kwa kumpa game. Hiyo itakupunguzia makali at the same time jamaa utakuwa umemharibia home kwake mkewe akimuwashia moto hivyo atamkimbia demu wako.
  3. N

    MASAKI, DAR: Wayne Lotter, Mwanaharakati aliyekuwa akipambana na ujangili auawa kwa kupigwa risasi

    I think he deserved to have security around him 24/7. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Rais wa Zambia asema kupimwa UKIMWI si hiari tena bali ni lazima kuanzia sasa

    Na hilo domo lilivyo ... umepenya kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Uki-delete file/folder katika kompyuta linakwenda wapi?

    Kwani ulivyolitengeneza hilo faili lilikuja kutoka wapi? Swali lako ni kama vile ulitaka kapu la uchafu ulione na uchafu uuone uupeleke jalalani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

    Labda hiyo test ni ya rafiki yake ... fanya kumfuatilia nyendo zake utajua ukweli. Kidisha private investigator akuletee file lake. Kupandisha pressure kutakumaliza bure .... ukiwa na watoto tegemea lolote ila uwe umewapa guidelines ili usijejilaumu bure kwa kukaa kimy. Sent from my SM-N910H...
  7. N

    Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

    Huu uzi ni kwa wagongea macho
  8. N

    TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    Mangi ya mochi henda na oforo lo mndumii nakuambiye necha mpaka ili mandi lochakoyane see.
  9. N

    TCU mnaturudisha nyuma. Kwa mfumo wenu mpya wa udahili vyuoni, mnatuonea wananchi

    Kila chuo kitakua na ONLINE APPLICATION option it is even faster and better than tcu tehama. Wanafunzi watakaokubalika ndiyo majina yao yatapelekwa wizarani na vyuo husika yakiwa Sorted
  10. N

    Professor Muhongo aionya serikali

    Huyu anastahili kupogwa fimbo na kurudishwa kijijini for the rest of his life akaishi huko na u professor wake mjini apigwe marufuku.
  11. N

    Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

    Jeshi lina vitengo vingi hicho cha kuvunja mawe na mazoezi mengine ni commando's, vichwa vipo vingi tuu tena vikali ila havitumiwi ipasavyo kufanya innovations etc. That's one area hatujaitazama vizuri kitaifa
  12. N

    Unadhani kwanini hakuna muajiriwa tajiri au aliyewahi kuingia top ten ya matajiri nchini?

    Waajiriwa wa tz siyo matajiri kwa sababu waajiri wao hawawalipi kimaslahi ili kuwawezesha kuwa matajiri, pia tajiri wa kiafrika au kihindi kukupa partnership kwenye kampuni ni kiama
  13. N

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu binafsi 2020 tusimpigie kura kiongozi anayedharau vyuo vyetu

    KUNA WATANZANIA WALIKUA TAYARI KUONA UD INAKUFA ILI WAJIBINAFSISHIE, ULIMBUKENI WA KUTISHA. VYUO BINAFSI VIJIKUZE KITAALUMA NA KUPATA CREDIT WITH TIME SIO VINAANZA UCHOCHORONI KWA DILI YA KUNUNUA WANAFUNZI. KUJIUNGA NA CHUO KUWE HURIA SIO KUPOTEZANA KUPELEKANA VYUO VINAVYOZIKA TAALUMA ZA VIJANA.
  14. N

    Ridhiwani Kikwete: Mwigulu watu wanatekwa umekaa kimya, toa kauli

    [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Back
Top Bottom