Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mbunge wa Chalinze amemtaka waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba kutoa kauli kuhusu watu wanaotekwa ili kuondoa hofu.
Aah salale kazi kweli kweliMnafiki alivyotekwa ulimboka mbona alikaa kimya?
Wamuache Mwigulu akae Kimya, Mbona Baba Yake alikuwa anapiga Kimya?
Atukumbushe kauli hata Moja tu ya Waziri wa Mambo ya ndani wakati wa Baba yake kwny Matukio ya Utekaji?
Mbunge wa Chalinze amemtaka waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba kutoa kauli kuhusu watu wanaotekwa ili kuondoa hofu.
Ukikaa kimya shida, ukiongea nako shida, bora akae kimyaWamuache Mwigulu akae Kimya, Mbona Baba Yake alikuwa anapiga Kimya?
Atukumbushe kauli hata Moja tu ya Waziri wa Mambo ya ndani wakati wa Baba yake kwny Matukio ya Utekaji?
Bora upige kimya wasije wakakufanyia UromaUkikaa kimya shida, ukiongea nako shida, bora akae kimya
Ulimboka wakati anatekwa waziri wa mambo ya ndani hakuwepo
Mbunge wa Chalinze amemtaka waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba kutoa kauli kuhusu watu wanaotekwa ili kuondoa hofu.
Na mtekaji akatajwa mpaka kijini Kwao aliko zaliwa paka tajwa ...... Nikumbusheni kama alikamatwa.......Mbona enzi za baba yake ulimboka alitekwa tena mbaya zaidi Ulimboka aliokotwa taabani nusu kufa hakusema chochote.Damn it hili nchi la wanafiki wengi
Mwigulu ni mtuhumiwa wa mauaji mnataka atende kinyume?..... Si ni Mwigulu huyu aliye ratibu mauaji ya Soweto arusha? tena kabla ya kuwa wazili, wote tunakumbuka Mwigulu na matukio ya utekaji wa waandishi wa habari kisha kumsingizia rwakatale!! .........nitatoa ushahidi hadi mbinguni.......,hivi kama aliweza kutekeleza hayo yote hayo kipindi kile sasa hivi anashindwaje, nawashangaa mnao taka ajikemee!!!!!!!!......Hakuna waziri wa hovyo wa mambo ya ndani kuwahi kutokea kama Nchemba.
Mwigulu bado anautamani urais 2025,anaogopa sana lawama na wauza unga,watamuwekea miiba njia yake ya kwenda ikulu,matokeo yake anaharibu kazi.
Mwigulu ni waziri dhaifu mno,mwepesi na hajiamini.Tokea nizaliwe sijawahi kuona kituo cha polisi kikifungwa kama duka la kuuza dhahabu,halafu polisi anajifungia ndani ndani na bunduki.
Ni Tanzania tu polisi wanaogopa majambazi kwa kujifungia kituoni na kuweka utepe wa njanao kana kwamba hapo kituoni ni eneo la maafa!