Wanafunzi wa Vyuo Vikuu binafsi 2020 tusimpigie kura kiongozi anayedharau vyuo vyetu

Wasomi tutumie weledi wetu katika kufanya maamuzi sahihi juu ya kila jambo tunaloliamini kwa faida ya kizazi cha leo na kizazi cha kesho
 
Hilo utokea kama hakuna efficient coordination kati ya ubongo, fikra na mdomo. Niliwahi kusema toka siku za mwanzo za kusikia hotuba zake, the fella doesn't have substance. I believe he aint mentally sane. And psychologists tell us that one of the signs for mentally ill person is putting a smile everytime that person talks. The smile is for hiding his insanity.
Excellently said. Yaani nimeipenda hii. Sasa ndio nimejua kwanini yuko vile. Lembeli amesema wakati wa kampeni walitangaza sana magonjwa ya wengine lakini wakaficha kusema mgombea wao ni mgonjwa wa akili. Maekezo yako hayapishani kabisa na ya Lembeli
 
Hilo utokea kama hakuna efficient coordination kati ya ubongo, fikra na mdomo. Niliwahi kusema toka siku za mwanzo za kusikia hotuba zake, the fella doesn't have substance. I believe he aint mentally sane. And psychologists tell us that one of the signs for mentally ill person is putting a smile everytime that person talks. The smile is for hiding his insanity.
Mkuu nimegundua wewe ni mtaalamu wa afya ya akili (Magonjwa ya afya ya akili)na saikolojia. Sasa kwanini watu kama ninyi hamtumiki kusaidia pale feri?
 
KUNA WATANZANIA WALIKUA TAYARI KUONA UD INAKUFA ILI WAJIBINAFSISHIE, ULIMBUKENI WA KUTISHA.
VYUO BINAFSI VIJIKUZE KITAALUMA NA KUPATA CREDIT WITH TIME SIO VINAANZA UCHOCHORONI KWA DILI YA KUNUNUA WANAFUNZI. KUJIUNGA NA CHUO KUWE HURIA SIO KUPOTEZANA KUPELEKANA VYUO VINAVYOZIKA TAALUMA ZA VIJANA.
 
Mkuu nimegundua wewe ni mtaalamu wa afya ya akili (Magonjwa ya afya ya akili)na saikolojia. Sasa kwanini watu kama ninyi hamtumiki kusaidia pale feri?
Mimi siyo mtaalamu wa magonjwa hayo. Ila napenda kujisomea na kujifunza kwa wataalamu mambo mbalimbali, ambayo si ya fani yangu. Hilo nililolisema, actually niliambiwa na psychologist.

Kuhusu ushauri, si umemsikia mzee mzima alisema yeye hashauriwi!!
 
ni ukweli mweupe ambao tuna gamba la UDSM , huwez compare na wale wenye gamba vya vyuo vya St..!!
ata kama nikiwa kilaza ila cheti kitapewa priority.
Alitakiwa kusema UDSM ni chuo bora nchini hayo mengine hakukuwa na haja ya kusema.
[HASHTAG]#viwonder[/HASHTAG]
 
Umetukosea heshima sana mimi nasoma Sebastian kolowa memorial university ni private na nilifaulu vizuri form six lakini niliamua kusoma hicho chuo kwa sabab ndo chuo pekee bora Tanzania kwa upande special education ambayo ipo vyuo vitatu tu Tz Udom,Saut ya tabora Sebastian kolowa memorial university.na napenda special education
hahaha.....hicho chuo ndio mmeambiwa ni vilaza
 
Mh. ameongea kitu ambacho kina mashiko, haiwezekani mtu afaulu kwa alama za juu apelekwe Kwenye vyuo ambavyo havina hadhi Ya ufaulu wake, mfumo huo haupo popote dunia! Best students go to best universities! Period
 
Tunajua uwezo wake Na akiri zake za kwenye makaratasi, logic thinking ni zero, Zero brain. Yaani kibashite bashite, Hekima ipo wapi?
 
Kwa kifupi anarudisha viwango vya elimu na ufaulu Tanzania, TCU wameharibu usahiri katika vyuo vikuu kwa kutozingatia ufaulu wa wanafunzi,wamevuruga mfumo wa elimu Ya juu kwa kudharirisha ufaulu wa wanafunzi.
 
sasa kozi kama za ualimu na sociology unahitaji chuo kizuri cha nini wakati ni kukariri tu kunahitajika
 
Kama humpigii kura kwa dharau za maneno na sio kunyimwa mkopo au kuzuiliwa kusoma basi elimu yako haijakusaidia
 
Halafu na yeye akisema waliosoma vyuo vikuu binafsi wasiajiriwe popote mtakuwa wageni wa nani? Elewa kuwa suala la kupiga kura huwa ni la mtu binafsi, Uwe unatafakari kwanza kabla ya kuropoka , usiwaponze watoto wa watu
 
KUNA WATANZANIA WALIKUA TAYARI KUONA UD INAKUFA ILI WAJIBINAFSISHIE, ULIMBUKENI WA KUTISHA.
VYUO BINAFSI VIJIKUZE KITAALUMA NA KUPATA CREDIT WITH TIME SIO VINAANZA UCHOCHORONI KWA DILI YA KUNUNUA WANAFUNZI. KUJIUNGA NA CHUO KUWE HURIA SIO KUPOTEZANA KUPELEKANA VYUO VINAVYOZIKA TAALUMA ZA VIJANA.
Hakili zako unazijua mwenyewe, ila contribution ya private sector hasa taasisi za dini ni za kutolewa mfano more than 70% ya vyuo vikuu tz ni private, Na vimechangia kuondoa gap nililoachwa Na serikali toka 2005, vimesajiliwa Na mamlaka ya umma. Nenda kama Saut mz see the content. Liganisha Na hao Wa Udsm kwenye same entry. Hakuna logic, yes Udsm is best but never deny mchango Wa vyuo vingine, nenda field, you learn something.
 
Akutakane hakuchugalii tusi.Hili leo limedhihirika wazi hivyo ni wazi wanafunzi mlioko vyuo vikuu binafsi na hata mliosoma katika vyuo hivi siku za nyuma mjue wote mmedharauliwa.

Baba anabagua watoto badala ya kuwa mlezi wa wote!!

Kwa mantiki hii 2020 tuungane kumkataa mtu huyu.

Pole sana Mzee wa Msoga ulijitahidi kukuza sekta binafsi ila mwenzako yuko busy kuingamiza.

Hivi wasomi wa hicho chuo anachokisifia wameifikisha wapi nchii yeye akiwemo?

Sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi.
Sio vyuo binafsi tu bali vyuo vyote nchini tuungane kwa hilo usipokua tuwaache ud pekee, sababu anaamini chuo ni kimoja tu nchi hii
 
Back
Top Bottom