teledam
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 927
- 1,239
Habari JF,
Naomba kufahamishwa. Unapo futa file ama folder ama document nyingine yoyote katika kompyuta i/linakwenda wapi?
Ikumbukwe kwamba kuna temporary deletion na permanent deletion (shift+del) na hapa nimelenga kwa permanent deletion
Nimejaribu ku-google lakini sijapata maelezo ya kuridhisha sana, pengine labda ni kwa sababu ya kilugha kilichotumika.
Naomba kwa anayefahamu basi anifahimishe nami kwa lugha yetu pendwa ya kiswahili ili nielewe.
Natanguliza shukrani.