Professor Muhongo aionya serikali

Professor Muhongo aionya serikali

Kwahiyo akikosea asisemwe!!
Akiwa ccm ni mwanadam kama mimi
akiwa cdm ni malaika kwenu!
Tunajua mlivyo hovyo
mnamtukuza Mbowe kama Mungu asiye kosea.
Mkuu huwa nafuatilia sana mabandiko yako hakika huwa haichukui mda lazima ujichanganye!
 
H
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Uyu ni sawa Na bata tu maprof wako wengi Na watendaji wazuri kuliko yeye,mramba alikuwa yuko vizuri sana ila kwa sababu za ukabila wakamtoa,pusi kabisa
 
4b29d3fa97f4df5e6e334d74dfa6a3aa.jpg

Miongoni mwa mambo yanayonifanya nishindwe kumwelewa kabisa Prof. Muhongo ni tabia yake ya kutumia kiwango chake cha elimu na CV yake kama utetezi badala ya kujadili hoja inayokuwa mezani. Mara nyingi badala ya kujadili jambo husika, hukimbilia kueleza CV yake na sehemu alizofanya kazi na ni jinsi gani anaheshimika duniani. Hata walipomwambia alishiriki kuwezesha pesa zilizokuwa kwenye account ya escrow kuibiwa kwa kufanya udalali, aliishia kusoma CV yake badala ya kujadili tuhuma. Kwenye mkutano mmoja wa wadau wa mafuta uliofanyika Mlimani City ambapo alifanya presentation, aliishia kutumia fursa hiyo kuonesha ni jinsi gani anaijua miamba kwa kuorodhesha makorokoro ambayo kimsingi hayakuhitajika mahali pale. Nafikiri alijiaminisha kwamba akitishia watu na usomi, watamwogopa. Hataulizwa maswali mengi. Nimefikia hitimisho lifuatalo: Prof. Muhongo hana uhakika na usomi wake. He feels insecure. Hivyo, he constantly see the need to remind people how educated he is for fear that people have forgotten. Hiyo si sifa ya msomi (as in intellectual). Wahenga walisema, "A tiger does not shout its tigritude, it acts". Huoneshi usomi wako kwa kusoma CV yako hadharani kila unapopata fursa/kupiga kelele kuwakumbusha watu kuhusu CV yako. Ukifanya matendo ya kisomi watu watahitimisha kuwa wewe ni msomi (kama ndio kitu unajali maishani, kuonekana msomi).
 
Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Hivi ni vitisho gani vimetolewa kwa mkuu wa kaya?
 
Kama ameyasema hayo anatakiwa awe mahali salama!
 
Kupe wanaitumia CCM.ataondoka muongo atatumiwa ajae

Aliye ingia ndiye aliye kuwepo day one waliposainisha mikataba hewa.Aliyetumbuliwa kaikuta Mikataba hewa.Anayetumbua anamuongezea Madaraka aliyetuingiza Kwenye Mikataba hewa halafu tunapiga makofi kama wehu vile.
 
Nikifikiriaga viongozi wa ccm nacheka sana wakipewa madaraka wana azimwa na akili wanatuona wananchi mavi lakini wakipokonywa ndio hurudiwa sense zao kutaka sympathy kwa wananchi wanao tudharau nakushukuru sana jpm unajuaga kukomesha haya majitu jamani nyie endeleeni kujikomba nakushikiwa akili uzuri wake wananchi tunajua mno maumivu ya kiburi chenu kwetu kila la kher tukutane [HASHTAG]#2020[/HASHTAG]
 
Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Hivi watu wengine mkoje lakini? Hiyo vita itapiganwa kwa jeshi? Subirini tu,, time will tell!!
 
Hv alitaka Rais akae kimya ili tuendelee kuliwa??
 
Huyu anastahili kupogwa fimbo na kurudishwa kijijini for the rest of his life akaishi huko na u professor wake mjini apigwe marufuku.
 
Acha tule majani wote.angalia mchina ulipotokea mgogoro wa kisiwa na japan.jinsi walivyoandamana.
Wenzetu hawataki mchezo na nchi zao.
Angalia marekani yuko radhi akapore utajiri wa nchi nyingine akajenge kwake.na wananchi wao wana wasapoti.sasa nenda kaguse maslahi ya marekani uone balaaa.
 
Mimi ninakufahamu vizuri sana Prof.Sossy na ninayo imani kubwa sana kwako na katika utendaji kazi wako waache hao wanaokubeza waendelee iko siku watatambua ni nini maana ya hayo maneno yako. Lakini ni hapo Mungu wa mbinguni atakapomtuma roho wake awafunulie ulichokieleza. Mungu akutie nguvu sana
 
JPM achunguze teuzi zake...
Inakuwaje mawaziri wake (except Mh Kitwanga) wakipigwa chini wanatumia media kubwabwaja...
Something is very wrong somewhere...
Sijawai ona kitu kama hiki regimes zilizopita...

Statement ya Prof Muhongo inaleta maswali mengi ambayo sitaki kuyauliza maana nitakuwa mchochezi...
But hii serikali inafanyaje kazi? Wanajua collective responsibility...au ukitemwa uko free kusema chochote?!


Hata Kitwanga alibwabwaja wiki iliyopita kwamba Magu hapeleki maji jimboni kwake sababu anamwandaa makonda akagombee ubunge .

Akaenda mbal zaidi kwa kusema atawahamasisha wananchi wake wakabomoe kisima / mitambo wa maji maana maji hayawezi pita kwao kuelekea kwingine bila wao kupata
 
Back
Top Bottom