kupanga chumba ukiwa bachelor ni shida sana yaani mi napokaa ni mwaka wa pili huu lakin isingekuwa kuwa na roho ya chumba ningeshawala wake za watu wote hapa napokaa maana mwaka jana nmehamia tu kuna demu yeye yupo singo alikuwa anafanya kazi mikocheni akajigeuza ndio msemaji wangu yaani...
mitume na manabii walishapita zama zao hao wa sasa ni matapeli wanajifunzia nigeria raia badala ya kufight wapate maisha wanaenda kuwazawadia manabii feki pesa kila jpili tena wanapangwa kwa idadi ya sadaka
Wanawake hawajuagi wanataka nn aisee walishasema mwalimu wao kipofu kwahiyo ukiwaendekeza sana we ndo utakaeumia kwakuwa wanajifanyaga kupenda sana bad boys nawe kuwa bad tu hakuna kucheka nao maana huwa hwajifunzi chochote dawa yao hakun kuwadekeza
hizo story utakuwa unawadihithia mabest zako pale ambapo utakuwa upo kwenu umezalishwa na hakuna wa kukuoa huku jua limeshazama na figa yote kupotea unabaki ninge ninge
bila aibu na haya umeonyesha jinsi gani ulivyojaza tui la nazi kwenye fuvu la kichwa kwa kuleta story za u'KANDA YA KASKAZINI' kwahiyo unaona kwamba nyie ndio mnaoustahili utanzania kuliko wgogo wa dom au chuki kwakuwa wanaichagua ccm kila chaguzi japo mimi sio mwana ccm wala chama chochote...
mchina alishawajua nyie ni washamba huenda kuzubaa kwenye malls na CBD kutafuta wifi ya bure ndo maaana kawajengea vituo vya treni vikubwa ili mjazane mshangae huku mkisubiri garimoshi la mchina kutoka Guangzhou museum
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.