Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Kuhadisiwa na mwanamke mitongozo anayo kutananayo ni mbaya sanaNyie wanaume wa humu, kinachoshangaza ni nini? Mnadhani mkishaoa mnazuia wasitongozwe na wengine? Omba mke ajitambue. Atambue thamani yake. Kutongozwa sio dhambi wapendwa. Ni lazima kila anayemtongoza akwambie? Anyway, ongea na mkeo kwa namna ambayo si ya kumshutumu wala kumtuhumu ( in a friendly way)
