Recent content by namlengo wetu

  1. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuchimba dhahabu chunya

    Itumbi, makongolosi, saza, patamela, matundasi. Zungukia koote huko utafanikiwa tuu
  2. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Kumblock ex wako kwenye mitandao, ni wazi kuwa hujakubali matokeo

    Haina haja ya ku block, pia inasaidia mnoo kumuona wa kawaida. Sijui kutupa zawadi looh situpi kama kiatu nakivaa hadi kichakae
  3. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Nimeajiandaa kuanza maisha ya ndoa

    Daima umefanikiwa?? Njoo kwangu binti sayuni
  4. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Mwanafunzi akipata mimba mzazi jela miaka 30

    Naona tamko as usual, sidhani kama kuna mzazi anafurahia mwanae akatishe shule kwa sababu ya mimba, may be kwa mashariti ya mganga ndo atafurahi
  5. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania MBEYA NAKUJA

    Hatuna vizinga babu tumejitosheleza, tuna afya tele, tupo ngangari, ukizingua tunazingua. Karibu Mbeya
  6. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    Pole mwaya ndo maisha. Na majina mnayotumia muda mwingine yanajikuta yameshasadifu mazingira....
  7. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Mabinti wanajifanya expensive mitaani wanalia kwenye social network

    Mmmm kweli twambombo
  8. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania How to study(prepare for an Exam.Mnajiandaaje na mitihani mpaka kufauli?

    Msuli paper. Ulikuwa unatesa saaana
  9. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Enough is enough maskini moyo wangu

    Sijambo habari ya kwako??
  10. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Enough is enough maskini moyo wangu

    Yaani awe na amani zoote.
  11. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Enough is enough maskini moyo wangu

    Pole sana, usi mbloku na wewe. Ile kumuona ona ona itakufanya umuone wa kawaida pia utazowea haraka.
  12. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Wadada Ndivyo Sivyo

    Umeongea ukweli mtupu, shida ipo kwa mwanaume
  13. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri jinsi ya kudai deni Bila kupoteza urafiki

    Huu mwandiko ka naujua vilee ahahaa fanya kama nilivokwambia.. Poleee
  14. namlengo wetu

    JamiiForums Tanzania Kisa kamili cha mapenzi ushauri unahitajika

    Nimemuonea huruma huyo dada, kukaa na kulivumilia limwanaume la hivi miaka mitano. Eti nijibuni haraka huoni hata aibu kuamrisha watu unaotaka wakupe ushauri, mtizame kwanza
Back
Top Bottom