Enough is enough maskini moyo wangu

Enough is enough maskini moyo wangu

I dont see the connected dots to get a meaningful issue
Mtu aanzishe ugomvi then aseme utanikumbuka..how? Na katika mahusino yenu unasema mlikua mnaachana na kurudiana, katika ugomvi wenu unapotokea,,nani alikua anajishusha kwa mwenzie kutafuta good solution at the end? Embu kua muwazi.
 
Doctor wa mapenzi ktk ubora wako
 
Hi wakuu!
Niende moja kwa moja to the point

Mwanzo nilimsumbua sana hadi kuja kunipata, baada ya kuwa pamoja nikazama mzima mzima binti wa watu, dah Nishamuweka moyoni, i loved him every moment.

ghafla kachange toka last year mawasiliano yakapungua of coz tunaishi mbali mbali after two month or one ndo kuonana.
tumeenda had two days ago kaanzisha kiugonvi kisichokuwa na kichwa wala miguu.
nikahisi naonewa nikamjibu it was nice known you. maisha mema. Akajibu utanikumbuka sana

Ni wengi wanaonipenda lakini siko na feeling na hata mmoja wao.. ninakopenda sipendwi.

Nimeamua kugive up na kumuv on sasa. nimefuta namba zake na block kila sehemu.
Roho inauma sana of coz bado nampenda leo na kesho lakini simuhitaji tena

em ukisoma hapa nipe japo neno la kunifariji maana siyo kwa maumivu haya

ukitukana pia poa tu.
Jipe moyo utampata tu anayekufaa
 
I dont see the connected dots to get a meaningful issue
Mtu aanzishe ugomvi then aseme utanikumbuka..how? Na katika mahusino yenu unasema mlikua mnaachana na kurudiana, katika ugomvi wenu unapotokea,,nani alikua anajishusha kwa mwenzie kutafuta good solution at the end? Embu kua muwazi.
mara zote mie ndiyo najirudi naomba msamaha even if kosa lilikuwa lakwake..hajui kukosea
 
Kugombana kwenye mahusiano kawaida,y hujatry kusolve ur diferences??mtu unampenda y usipiganie ur relatnshp..
 
mara zote mie ndiyo najirudi naomba msamaha even if kosa lilikuwa lakwake..hajui kukosea
Okey katika ugomvi wenu kama yeye ndo kasababisha why aseme utamkumbuka, what did you do to him to make him.say that...unajua neno zito sana hilo?
 
Kama unaani ndio best solution u will live comfortably! But if is not u will live pierced off!
 
Back
Top Bottom