Nimeajiandaa kuanza maisha ya ndoa

Nimeajiandaa kuanza maisha ya ndoa

Kosa kubwa tu ulilofanya
N kusema umeokoka
Ungekuta pm yako ishafloot

Wadada wa jf hawatakag walokole bhn cjui walifanywaga nn na hawa watumish wa mungu
Yawezekana hana wokovu wowote, na labda anajutia kusema kaokoka. Yeye alijua nia moja ya vivutio swafi lkn kumbe ndo alipokosea.
 
"Wapendwa katika bwana" changamkieni fursa hiyo.
 
Yawezekana hana wokovu wowote, na labda anajutia kusema kaokoka. Yeye alijua nia moja ya vivutio swafi lkn kumbe ndo alipokosea.

Kama atakua alikosea bhas
Tutegemee bandiko lingine
 
Mkuu umeokoka harafu umeshindwa kumwambia mungu hitaji lako unakuja jf kutafuta mke usilitaje jina bure la bwana mungu wako
Hahah hah hah umenifanya nicheke sana, nikukumbushe tu kwamba njia za Mwenyezi Mungu hazichunguziki hata kidogo, ukipanga hili yeye anapanga lile na pia mahusiano yeyote huwa yanatoka kwa Mungu kubwa likiwa ni upendo..so kitendo cha binti kwenda kwenye PM na makubaliano yakawepo na baadae ndoa huo ni mpango wa Mungu! Amini hivyo tu hah hah
 
Mkuu mungu huonyesha kwa vitendo si matangazo huyu katupa tangazo la kuokoka ndo nilipo pata wasiwasi nae
 
Habari za leo wana JF. Mimi ni kijana wa miaka 33 na sasa nimeamua kuoa. Mimi nina elimu ya chuo kikuu, nimeajiriwa, na ni Mkristo niliyeokoka. Napenda kujituma katika malengo mbali mbali ya maisha na kwa jinsi hiyo nimepata mafanikio mbali mbali.

Badala ya kueleza mlolongo wa sifa za ninayemtafuta, mimi naamua kutoa nafasi kwa mwanamke yeyote aliye na nia ya kweli anitumie PM akieleza upande wake. Maelezo mazuri yatanivutia kuongea na mhusika na natumaini tutafikia mwafaka. Niko serious sitanii

fursa kwa dada zangu wakilokole waliokoka jaman ...changamkieni ,Mim nawasubiri wale wa karismatiki wenzang waje😵😵 hahhahaa
 
Huko kwenye wokovu, kama kweli ni wa huko, umekosa wa kumuoa?
 
Kanisani kuna mabinti kibao wanakesha wakiomba kupata waume, we unakuja kutafuta huku!!! Nenda kasaidie kujibu maobi ya dada zetu huko, ukikosa huko ndo uje huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom