Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Amini nakwambia ukifos utapata magonjwa coz hajui nn anafanya huko aliko
Sawa nakubaliana na wewe lakini kwa maelezo ya mtoa post kwa undani inaonesha bado ana mapenzi ya dhati na huyo anayemuita mpenzi wake ndio maana akaja jukwaani hapa kuomba ushauri, sasa kwa nini asimtafute tena face to face kujua msimamo wake upo vp kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, mi nadhani kukimbia kwenda kuishi ughaibuni ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tu! Mkuu let us just face the reality hah hah
 
Sawa nakubaliana na wewe lakini kwa maelezo ya mtoa post kwa undani inaonesha bado ana mapenzi ya dhati na huyo anayemuita mpenzi wake ndio maana akaja jukwaani hapa kuomba ushauri, sasa kwa nini asimtafute tena face to face kujua msimamo wake upo vp kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, mi nadhani kukimbia kwenda kuishi ughaibuni ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tu! Mkuu let us just face the reality hah hah
Big up nimekusoma
 
Mtoto ana 4year kwa upendo nikajua tutasaidian maisha mtoto aliniachia akiwa na mwaka 1 ckutak kumpeleka MTU nikitaka niteseke mwenyew na mwanangu mwenyew pia hataki kukaaa na MTU zaidi ya baba yake
Hongera wewe ni baba bora, ni wanaume wachache sana wanaoweza kulea watoto wadogo namna hiyo
 
Duuh pole kakaangu, yaan mm bado haijaniingia akilini Mkeo ulikua unaishi nae kwa upendo na aman zote leo hii apate kazi abadilike hv..

Nahisi kuna tatizo labda hana kazi yupo home, ulikua unamletea mambo ya ajabu kama kulala nje, anakuta msg za kimapz kwenye cm yko, au ulikua mlevi sna ukilewa unamdhallisha nk.

Sasa na yy kapata nafasi anaamua kukulipizia yale uliyo mfanyia , Hainiingii akilini Mume wangu tuliekua tunapendana sna, umenisomesha na kazi umenusaidia kupata alafu nikakusaliti eeh,,,,

Naanzaje kukusaliti....

Kuwa muwazi kaka, wanawake hatupo hivyo. Hata kama mwalimu wetu kipofu.
 
Dah unanikumbusha jamaa yangu ila yeye ni Muethiopia tulikuwa tunafanya kazi pamoja muda mrefu nchi za watu, alikuwa anasomesha mchumba wake USA na karibu likizo zoote alikuwa anaenda huko. Dada kagraduate jamaa karudi toka likizo USA tuna muona kabadilika, yupo peke yake muda mwingi, hamuongelei mchumba wake tena kama alivyozoea, anacharaza kinywaji sana, anakuwa mmbishi sana kazini na mgomvi, utendaji wa kazi ukaanza kuwa mbaya sana sana.Ila muda woote hatukuwa tunajua ni kitu gani kimemtokea. Kuna wakati aliugua akapewa likizo ya muda mfupi ya matibabu, aliporudi ikawa mambo yaleyale - Cha kushangaza kuna siku aliamua kuondoka kurudi nchini kwakwe bila ofisi kujua. Ofisi ikaamua kumfuta kazi na vifaa vya kazi akaambiwa aviwasilishe hukohuko nchini kwake kwenye ofisi yetu ya Addis Ababa...... Baadaye taharifa zikaja kuwa chanzo cha mabadiliko ya tabia ya mwenzetu kumbe ni mchumba wake. Inasemekana alipoenda likizo ya mwisho mwanamke wake alimwambia amepata mchumba mwingine hivyo yeye asahau mahusiano yao kabisa.... Jamaa yake mpya wa huyo aliyekuwa mchumba wake naye akasiliba kabisa kwa kumuonya kuwa asijaribu kuingilia mahusiano na demu wake anayedai mpya kwake la sivyo atamchapa risasi. Na jamaa tunamjua ni mwoga sana hivyo aliamua kurudi bila kutunishiana misuli na mwizi wake.......Baadaye Boss wetu wa kazi alisikitika sana alipopata hizi details na kuishia kusema laiti angelijua tatizo lilikuwa ni la mahusiano angempa msaada zaidi wa kisaikolojia badala ya kumfukuza.....Alikuwa jamaa poa sana sana kazini ..Dah mahusiano wakati mwingine huzaa majanga jamaa alipoteza kazi nzuri nadhani na waliokuwa wanamtegemea nyumbani nao waliathirika pia.
Ni afadhari ujikite kwenye shughuri zako za msingi maana ukimwazia sana huyo demu akili inaweza haribika kaka, amekutana na maisha mapya huko...
Soo sad kwakweli,mapenzi yanaweza kufanya kugeuka chiz na kupoteza kabisa dira ya maisha... Huyo jamaa alipata msaada sasa?
 
WANAWAKE WANAJISAHAU SANA...WEWE KAMA MUISLAM ACHA TALAKA NENDA ZAKO TEMBEA MBELE ASIKUUMIZE KICHWA...ATAKUJA KUJUTIA...MSOMESHE MWANAO MPE MAPENZI YOTE MWANAO ACHANA NA HUYO
 
Dah kwamujibu wamaelezo yako umeshajitahidi kumueleza vile unavyofikiria ila bado amekuwa mgumu kubadilika, basi Mimi binafsi naona uamuzi wako nibora zaid ila naamini atakukumbuka nawakat utakuwa umeshapita
 
Kusomesha mwanamke ni sawa na kwenda kujenga ukweni....


Watu wanabadilika kwa kasi kubwa sana mkuu,usimuamin mtu....

Mkaushie utakuja kuleta mrejesho hapa gia atakayokujia nayo
 
Yanaaa gooood cna alf mm ningeenda kumharbia na kz ili aje kujua kuwa mm ndo nlimfnya awe vle
 
Mambo ya kuingiliana majukumu ya wazazi wake hayo. .......ni kosa sana kumsomesha mwanamke.....kama unataka mama wa nyumbani oa mama wa nyumbani kama unataka civil servant nk fanya hivyo pia.......Adui mkubwa wa mwanamke ni upwekee. ......hiyo imesha kukata.....amekutana na wazee wa katelelo wamegaragaza......Mi sirudii hiyo biashara ili share nikata hata hamu sina........
 
Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

Kumbe huyu jamaa ndo mwenye tatizo aisee!

Vipi ule mchepuko wako ushajifungua?? Make kuna siku uliomba ushauri humu jamvini.

Huenda mkeo ameshajua kila kitu. Kumbe ulimtafutia kazi mbali ili kuendekeza ufska!!! Aibu yako!!!
 
pole mkuu kwa yaliyokufika. kwa kifupi hapo huna mke. na (unaonekana uko well off) utakapopata mwingine mfungulie biashara afanye usikubali aajiriwe na mtu au kampuni.
 
Back
Top Bottom