Recent content by NakuliliaTanzania

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Agosti 2008

    kwa nini mkuu Gember tuambia kama utumishi ni private?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa anasafishwa!

    Mkuu usishangae hilo, inategema unamja nani na kwa nini, hujasikia wakuu wakihama na madereva wao? madereza wala si wa kati ni wafanyakazi wa chini...lakini wa 'juu' in their own right. kale kainzi kamerudi kutoka kaliko ama bado? LOL
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    wenye akili zetu tumeshakuelewa, ni kutumia tu elimination method kujua kimebaki kipi! Lakini haya ni matokeo ya kudharau wosia wa JKN! Tumewakaribisha wakati usio muafaka, wamenogewa, hawatak kuambiwa 'baasi jamani ebu muwaachie watoto kidogo'
  4. N

    JamiiForums Tanzania JIBU: Tatizo la kukawia kupata GOLI

    Yeah me too
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Huyo ni mtaalamu wa mambo ya uchumi, zamani kidogo alikuwa mwenyekiti wa bodi ya madirectore wa ESRF, kisha akateuliwa kuwa mwenyekiti wa kuongoza tume ya kuratibu maoni ya watanzania kuhusu kuharakishwa kwa shirikisho la afrika mashariki, of which watanzania waliukataa huo mchakato, na nadhani...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Ndo huyu huyu 'rafiki' wa marehemu Wangwe ama mwingine?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Mmh! Mkuu inaelekea mambo ni mazito?
  8. N

    JamiiForums Tanzania JIBU: Tatizo la kukawia kupata GOLI

    swadaktaaa Kipanga apo kwenye frequencey of having sex...ni muhimu sana..actually it follows kuwa unavokuwa unapata sex mara kwa mara, kale kautaratibu ka 'kukojoa haraka' kanapungua na kwa hiyo wote mnaenjoy zaidi kwa sababu, katika hali ya kawaida ina maana utakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

    mi anyathing goes depending on the environment...jiko la shamba halichagui kuni
  10. N

    JamiiForums Tanzania *Miss Tanzania 2008*

    Wakuu mi kawaida huwa sina macho lakini kwa hapa nimetazama lakini sijaona japo nimefikicha fikicha! naona warembo bado hawajazaliwa.....
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Kabisaa nakubaliana na wewe hapa..huyu jamaa mfano akipita hapa JF nadhani atajiona kama ndo ivo anakamatwa na polisi!
  12. N

    JamiiForums Tanzania WTO talks have failed

    We all knew that this was coming....we still have a long way to go. What is the role of the so called G22? of course they cant do anything against the G8...and unfortunately India, Brazil, China and South Africa kind of agreed that 'no deal is a bad deal'....so back to square one. tunawapa tu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Migiro Raia Wa Jiji la Mwanza !!: Upuuzi kweli kweli

    mi najiuliza ni hicho cheti tu au na yeye atakuwa amemegewa kaeneo ka kuweka 'kakibanda' kake?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Ina maana yeye hakukopa shangingi? manake vigari hivyo risk ya ajali ni kubwa na isitoshe alikuwa anaendesha mwenyewe...huenda alikuwa na mawazo masikini or something...its so painful and sad to know that....
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Mkuu Masatu ndo tunaanza speculations mapema hivi? hata mwili haujapoa?
Back
Top Bottom