Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
560
0
Ooooh nnoooo jamani hizi ajali mpaka lini? Its so scary!

RIP mpambanaji Chacha Wangwe! Poleni wana Chadema na wana Tarime wote!

Mungu alitoa na Ametwaa wote tupo safarini
 
Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
170
Mungu akulaze mahali pema peponi...

Kwa Familia na Wanachadema Sala na umoja katika kipindi hiki kigumu will see us through.

RIP Wangwe.
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,102
2,000
Asubuhi aliongea na Mudhihir na Japhet (mkurugenzi wa shughuli za bunge ambaye pia alituhumiwa kuingia bungeni na Chenge kumwonesha kiti) alisema aliongea naye kuhusu hoja yake bungeni na akamwaga kuwa angeenda Tarime kwa shughuli za msiba.

Baadae Mudhihir akamfahamisha (mtu wa kwanza kutoa taarifa ni Mudhihir) Japhet kuwa mheshimiwa Chacha amepata ajali.

Kwa wakati huu mheshimiwa Japhet yupo hospitali ambako mwili wa marehemu umepelekwa.

You'll connect the dots yourselves.
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,181
2,000
Asubuhi aliongea na Mudhihir na Japhet (mkurugenzi wa shughuli za bunge ambaye pia alituhumiwa kuingia bungeni na Chenge kumwonesha kiti)

Baadae Mudhihir akamfahamisha (mtu wa kwanza kutoa taarifa ni Mudhihir) Japhet kuwa mheshimiwa Chacha amepata ajali.You'll connect the dots yourselves.

...mh...

..muheshimiwa chacha alikuwa machachari kweli ..but never pose a threat...sijui tena!..MUNGU AMREHEMU..
 
HeartBreak

JF-Expert Member
Apr 21, 2008
346
170
chacha umetuwacha katika ufisadi mkubwa sana,nenda kwenye mahali pa neema kwa mungu baba,yeye ndio uzima wa kweli na yuko mpaka milele na milele.....maisha ya binadamu ni kama maua,uchanu na kunyauka wakati wowote.....tulikupenda chacha ila mungu amekupenda zaida....poleni ndugu wote na wanachama wote wa chadema
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,102
2,000
Hamad Rashid Moh'd anasema habari za kifo cha Wangwe zimezua mshtuko mkubwa na ni pigo kubwa kwa kambi ya upinzani. Anasema alikuwa ni mhamasishaji mzuri bungeni na ni pigo kubwa kwa kambi yao.
 
NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
560
0
Asubuhi aliongea na Mudhihir na Japhet (mkurugenzi wa shughuli za bunge ambaye pia alituhumiwa kuingia bungeni na Chenge kumwonesha kiti) alisema aliongea naye kuhusu hoja yake bungeni na akamwaga kuwa angeenda Tarime kwa shughuli za msiba.

Baadae Mudhihir akamfahamisha (mtu wa kwanza kutoa taarifa ni Mudhihir) Japhet kuwa mheshimiwa Chacha amepata ajali.

Kwa wakati huu mheshimiwa Japhet yupo hospitali ambako mwili wa marehemu umepelekwa.

You'll connect the dots yourselves.

Mkuu tafadhali..........
 
Mgagagigikoko

JF-Expert Member
Jul 1, 2007
474
0
Watu wasijehusisha hiyo accident na mgogoro wa kiuongozi aliokuwa nao ndani ya CHADEMA.

Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi. Sote ndiyo njia yetu hiyo.

Kichuguu.
mbona unajishtukia hujaulizwa suala la mgogoro wa uongozi hapa ni rambi rambi za msiba mambo ya Chadema historia itamuhukumu kama shujaa aliyethubutu kusema ukweli mazuri yake tutayaendeleza na jina lake tutavikabidhi vijazi na vijazi aliyekufa ni Wangwe lakini mawazo yake yapo hai.
wako waliomchukia kiasi cha kusema apigwe risasi akiwa hai kauli hii wameitoa siku nne zilizopita kuonesha chuki kubwa na kuzima hoja za Wangwe.
Sisi sote ni wenye kurejea hakuna atakayebaki tujitokeze kwa wingi katika mazishi yake japo wanafiki nao watakuja tuwe nao pamoja waseme na nyoyo zao.
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,181
2,000
Mmmmhhhhh! maandishi yote yale, vijembe vyote vile, leo demokrasia imepata pigo? Ndio maana wengine tunaamini bora kupambana na reality kuliko kuwa mnafiki!

..Mtanzania hunitendei haki ..kwani thread ya chacha ..sikuwa active ..revise your notice ...its seems you have just presumed ....that i was a severe critic..sidhani...huu mgogoro nilikuwa naona kama unakuzwa..thats why sikuchangia namna hiyo unayofikiria..ahsante!!
 
Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
Hizi politics za elimination Tanzania zitatumaliza, we need to know huyo "Nchimbi" wa huko ni nani?
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,102
2,000
Alikuwa anaendesha gari ndogo aina ya Toyota Corolla nje kidogo ya mji wa Dodoma na ndilo alilopata ajali nalo.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma anasema chanzo cha ajali hakijajulikana na gari limeharibika sana na tairi mbili za upande wa kulia zimepasuka.

Pamoja na Wangwe ni kuwa na rafiki yake Deus Francis Mallya alipona lakini amekimbizwa hospitali.

Eneo hilo ni maarufu kwa ajali maeneo ya Dodoma
 
Kitila Mkumbo

Verified Member
Feb 25, 2006
3,350
2,000
Jamani, this is too sad! Nawapa pole familia, wananchi wa Tarime, wana-CHADEMA na watanzania wote. Mungu aiweke roho yake mahala pa amani.
 
NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
560
0
Alikuwa anaendesha gari ndogo aina ya Toyota Corolla nje kidogo ya mji wa Dodoma na ndilo alilopata ajali nalo.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma anasema chanzo cha ajali hakijajulikana na gari limeharibika sana na tairi mbili za upande wa kulia zimepasuka.

Pamoja na Wangwe ni kuwa na rafiki yake Deus Francis Mallya alipona lakini amekimbizwa hospitali.

Eneo hilo ni maarufu kwa ajali maeneo ya Dodoma

Ina maana yeye hakukopa shangingi? manake vigari hivyo risk ya ajali ni kubwa na isitoshe alikuwa anaendesha mwenyewe...huenda alikuwa na mawazo masikini or something...its so painful and sad to know that....
 
Tujisenti

JF-Expert Member
May 21, 2008
342
195
RIP Wangwe Chacha. Just hope it was an accident and not otherwise. Bunge itamu miss alikua anachangamsha kweli. Poe kwa familia, Chadema na Tarime
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,181
2,000
Alikuwa anaendesha gari ndogo aina ya Toyota Corolla nje kidogo ya mji wa Dodoma na ndilo alilopata ajali nalo.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma anasema chanzo cha ajali hakijajulikana na gari limeharibika sana na tairi mbili za upande wa kulia zimepasuka.

Pamoja na Wangwe ni kuwa na rafiki yake Deus Francis Mallya alipona lakini amekimbizwa hospitali.

Eneo hilo ni maarufu kwa ajali maeneo ya Dodoma

najua wabunge wanachoka sana ....kukaa bungeni,na mara nyingine wakitoka wapate nyama na moja mbili...wanashauriwa kuwa na madereva,huyu muhashimiwa huwa anaendesha mwenyewe gari??,,,..its time now parliamentary service commission ..wahakikishe madereva wote ni compulsory kuwa na madereva waliohakikiwa na ofisi ya bunge.na pia kuhakikisha kuwa hata kama magari wanajinunulia..wapewe minimum features za gari la mbunge....gari ya nuhashimiwa ingekuwa at least ina AIRBAG nzuri..kama za fourwheels ingesaidia sana..juzi tumeshuhudia ilivyomuokoa mke wa dr shein...na prof kapuya....
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom