Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 16,508
- 21,442
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk Asha Rose Migiro akiangalia hati ya heshima ya kuwa raia wa jiji la Mwanza aliyotunukiwa na Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Leonard Bihondo Jumatatu akiwa katika ziara ya siku mbili mkoani Mwanza.
Huu nao ni upuuzi kweli kweli. Mama Migiro ni Raia wa Tanzania, hivyo automatically ni raia wa mji na kijiji chochote Tanzania. Huu mkwara wa Meya eti kumpa Dr Migiro hati ya heshima ya uraia wa Jiji la Mwanza ni upuuzi kweli kweli. After all, mme wake (Professor Migiro ) ni mwenyeji wa Ukerewe ambayo nayo iko mkoani Mwanza. Nadhani hatua hiyo inadhalilisha thamani ya utanzania wa wa Dr. Migiro