Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,231
0
Image583.jpg
Konyagi na Redbull ni poa siku ya Kidate....
Tumeambiwa na madaktari siku hiyo pata Tikiti maji na karanga mbichi
 
Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,082
0
Maziwa ya mugando yanaitwa Maliboto kule kwetu. Haya unakula kwa viazi vitamu au ugali, tena ile asubuhi kabla hujaenda kuchunga ng'ombe. Nilikuwa nayamiss sana.....nimeyangudua huku hawa wapolish kumbe nao wanatengeneza teh teh teh....
 
Power to the People

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
1,199
2,000
Smirnoff Ice, my Favourite poison. There is mbege once in a while nikiwa uchagani i add a little sugar though.

Non alcoholic Mango juice, Vanilla milk shake and water most important
 
X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,631
1,250
Je kwa siye tulio adicted na Hivi Vinywaji baridi, (Sijui kwa kimombo tatizo hili linaitwaje), mnaweza kutusaidia vipi? Maana haiwezekani kupita siku bila ya kupata japo Kinywaji baridi i mean soft drink. Yaani japo soda ya sprite iliyo changanywa na maziwa fresh.
Yaani hapa hakuna kuchaguwa so long ni soft drink twende tu. Ingekuwa ni pombe mngeniita cha pombe. Lakini mimi nipo Adicted na hivi vi'soft drink na nataka kuondokana na hili tatizo. Je naweza kupata msaada au idea ya kupunguza japo kidogo. Thanx
 
Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,855

Jaribu kunywa maji ya kawaida mara kwa mara...
 
Utamaduni

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
1,269
2,000
Maziwa ya Ng'ombe fresh, yaliyotoka kuchemshwa yakiwa bado ya motoooo bila kuweka sukari wala kuchanganya kitu chochote........ hapo ni burudani ndani ya duburani.
 
Mndundu

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
233
225
Ebwana kwa wale walioishi iringa mashambani kuna brand ya ulanzi inaitwa Mtogwa halafu uupate ukiwa bado upo kwenye mbeta (kipande cha muanzi kinachokusanja hiyo pombe) huku unayapuriza yale maboso na nzi pembeni (maboso ni mapovu yanayotokana na process ya kugema). Yaani nilivyokuwa darasa la 5 hivi hii kitu ilikuwa inamake my day.........
 
Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,852
0
ha ha ha :D :D ....... hiyo ni Murra iriyokuria Marikiti au Michenzani! lol

kwenye mambo ya maspais na nini, nainua kichwa juu kabisaa. Sihofii nyani wala ngedere. Kwanza Steve, ukishatengeneza/andaa mchemsho? au nilipoteza muda tu?usiniambie hukumbuki.

Mchemsho hushushwa na juisi au soda baridiiii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom