*Miss Tanzania 2008*

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
170
Haya ni madai tu na wala si ushahidi. Lete ushahidi kuthibitisha kuwa unao uwezo wa kuona malengo ya mamiss toka ndani ya mioyo yao. Ukiweza kuthibitisha hilo nitakuamini.

Nadhani unataka kunipa uwezo wa Kimungu.

Nipe definition ya CD unayiona ni sahihi na ya kuaminika ili nijue kama kuna faida kuendelea kujengana ktk hili.

Definition ya CD? nikifupisha ntakwambia ni mwanamke ambaye anaamua kutumia mwili wake kama kitega uchumi, kama njia ya kujipatia kipato!
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,225
wasingehitajika, wangejifia kifo cha kawaida tu.Jamii haiishi kuji contradict kwenye hili suala... utakuta mtu anamfungia mwanawe ndani kisa asifuatwe na wakware wakati yeye mwenye kutwa kusarandia watoto wa wenzake. Wakati anasaka aoe mwanamke asieyemegwa ( kwa lugha inayotumiwa na baadhi hapa JF) YEYE KUTWA KUMEGA/KUNG'ATA VYA WENZIE.Tukumbuke kuwa muosha huoshwa!leo mwana wa mwenzio,kesho wa kwako ndipo utalia kilio cha kusaga meno.

Mabinti wanaoshiriki kwenye mashindano haya..wana wakati mgumu sana maana kuna pressure kutoka kila kona...hata kama mhusika anataka kujitunza,vishawishi na mitego ni mingi mno.Wazazi wengi hawapendi watoto wao kushiriki kwa maana ni kuwa-expose kwenye danger.Sijui jamii itafanyaje ili watoto wakike wawe salama!

Hapo sister kwa kizungu 'you've hit the nail mabinti wazuri wapo lakini wazazi na ndugu hawataki washiriki kwa kuogopa yatakayofata huo umaarufi uchwara
 

Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
2,000
Definition ya CD? nikifupisha ntakwambia ni mwanamke ambaye anaamua kutumia mwili wake kama kitega uchumi, kama njia ya kujipatia kipato!

Kwa hiyo mwanariadha wa kike naye ni CD? Na mwanaume anayetumia mwili wake kama kitega uchumi ni nani?
 

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,952
2,000
Hapo hakuna mrembo mtakao enda kuingilio 100,000 mtaliwa tu bora mfanyie kitu kingine pesa zenu hizo.Hawa warembo sio warembo hawana sifa sijui vigezo gani vimetumika.
 

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,749
2,000

...ushauri wa bure;

katika hao watafute mrembo amabaye hata kwa mbali anashabahiana na Nancy Sumari, kisha wamchukue Nancy Sumari kama mkufunzi wa hao warembo, waangalie Nancy Sumari alifanya nini mpaka akaweza kufikia pale alipofikia kuwa mrembo toka kanda ya Afrika.

These people never learn, unless hawa waandaaji na Nancy mwenyewe wanaamini alishinda kwa "kudra za mwenyezi Mungu"!
 

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
560
195
1217170917_resize_of_flora_mvungi.jpg

Flora Mvungi
Kama sijakosea huyu mdada yupo kwenye kile kipindi cha bongo dar es salaama akiwaingiza watu mji nadhani mamiss wenzake wawe makini asijekuwangiza town
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,225
Kama sijakosea huyu mdada yupo kwenye kile kipindi cha bongo dar es salaama akiwaingiza watu mji nadhani mamiss wenzake wawe makini asijekuwangiza town

Ule ni mchezo tu kuelimisha watu wawe makini wakija dar,afadhali huyu anatafuta riziki kwa njia hiyo ya halali na sio kama hao wanaoonekana jolly, na hapa dar hamna msichana mwenye heshima zake anaweza kukubali umpeleke pale
 

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
560
195
Ule ni mchezo tu kuelimisha watu wawe makini wakija dar,afadhali huyu anatafuta riziki kwa njia hiyo ya halali na sio kama hao wanaoonekana jolly, na hapa dar hamna msichana mwenye heshima zake anaweza kukubali umpeleke pale

Nakubaliana na wewe Khoryere ni kweli kabisa wale wanajitafutia kipato pia nawashauri wawekeane mkataba ba TBC yasijekuwatokea kama ze comedy na KAole
 

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
560
0
Wakuu mi kawaida huwa sina macho lakini kwa hapa nimetazama lakini sijaona japo nimefikicha fikicha!

naona warembo bado hawajazaliwa.....
 

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,016
2,000
Nami nashukuru ya kwamba ili mjadala kama huu uendelee inabidi tusiwe na mtazamo mmoja, jambo ambalo ni vizuri kuliweka sawa ni kwamba ninaposema ya kwamba mashindano haya ni udhalilishaji, nimeongea kwa nafsi yangu...kutokana na upeo wangu na maadili yangu. Kwa mwengine anaweza akaona ni kitu cha kawaida lakini kama mtanzania niliyelelewa katika maadili ya Watanzania ambaye nimebahatika kuishi katika Awamu Nne za serikali z Bongo ntasema tena ni udhalilishaji.

Hapa sidhani kama nahitaji kujibu kwa vipengele lakini jua tu ya kwamba wazalilishwaji wakuu ni Jamii shiriki katika mchakato mzima wa Mashindano, unapoongelea nani ni mtendewa naomba nikujibu ya kwamba watendewa wakuu ni jamii nzima ambayo inawazunguka hao wahusika na watenda ni jamii hiyo hiyo ikishirikiana na hao wahusika.

Read between the lines na utaelewa ni nini hasa najaribu kukufahamisha hapa.

Shukrani,

Sijui kama u rational kiasi gani..

Kimsingi sidhani kama unaweza na ukawa sahihi kutumia moral stds zako na upeo wako kumjudge mtu mwingine. Sijui unatumia reference gani..hapa naona umepotoka. Na ndio maana nimeshangazwa na watu kama wewe kujificha nyuma ya PC na kurusha kejeli na matusi ya nguoni kwa washiriki wa urembo, kumbe only you have is your moral std & upeo?! Mimi nafikiri wewe ndiye haswa mdhalilishaji kwa kurusha matusi kwa mtu specific mbele ya kadamnasi hii ya JF.Naomba uombe radhi kwa hili.

Nilijua hutajibu vizuri swali langu. Hivi jamii kweli ndio mtendewa wa udhalilishaji? Mtendewa basically is the same as Mdhalilishwaji ktk kadhia hii.

Kimsingi hakuna btn lines.

Alamsik.
 

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,016
2,000
Nadhani unataka kunipa uwezo wa Kimungu.

Taratibu mkuu..Huo uwezo umejinadi menyewe kuwa unao.

Wewe menyewe umesema unao uwezo wa kujua nia za washiriki wa urembo, kwamba eti ni ma-CD wanaofanza biashara(?)Definition ya CD? nikifupisha ntakwambia ni mwanamke ambaye anaamua kutumia mwili wake kama kitega uchumi, kama njia ya kujipatia kipato!

Kila bin'adamu (wewe ukiwemo) anatumia mwili wake kujipatia riqzi kwa namna anuai. Na hiyo ndo mana'ke.

Kwa hiyo na wewe ni CD wa kiume?

Meter ya rationality inapima 'zero'?
 

bintimacho

Member
Apr 25, 2008
41
0
Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta mshindi, hata hivyo nina imani kuwa haiba huchangia sana kwenye ushindi. Je, ni nani kati yao ana haiba ya mvuto kwako, na kwa nini? GlobalPublishers wameahidi kutoa zawadi kwa msichana atakayekuwa na mvuto kwa watu wengi. Unaweza kwenda kwenye webite yao hapo juu kuonyesha chagua lako. Labda nitahadhalishe tena kuwa picha zote hizi ni mali ya Global Publishers, nimeziweka hapa kwa ajili ya kupanua mjadala wa mvuto wa haiba.

1217170024_lilian_shayo.jpg

Lilian Shayo

1217168115_resize_of_sylvia_mashuda_1.jpg

Sylvia Mashuda

1217168115_resize_of_tusekile_mwakimbinga.jpg

Tusekile Mwakimbinga

1217170024_resize_of_amata_crispin_1.jpg

Amata Crispin

1217170410_resize_of_angela_luballa_1.jpg

Angela Luballa

1217170410_resize_of_anntte_jahn.jpg

Anneth John

1217168115_resize_of_nelly.jpg

Nelly Kamwele

1217170410_resize_of_beatrice_dengenesa_1.jpg

Beatrice Dengenesa

1217170410_resize_of_blanka_emmanuel.jpg

Blanka Emmanuel

1217170410_resize_of_elizabeth_gupta_1.jpg

Elizabeth Gupta

1217170917_resize_of_gloria_masangwa.jpg

Gloria Masangwa

1217170917_resize_of_florence_josephat.jpg

Florence Josephat

1217170917_resize_of_flora_mvungi.jpg

Flora Mvungi

1217170410_resize_of_fay_antony.jpg

Fay Antony

1217170917_resize_of_irene_salala.jpg

Irene Salala

1217170917_resize_of_johari_abubakar.jpg

Johari Abubakar


1217093446_resize_of_linda_kaaya_1.jpg

Linda Kaaya

1217168115_resize_of_mariam_hajibu.jpg

Mariam Hajibu

1217168115_resize_of_nadya_1.jpg

Nadya Ahmed

1217170410_resize_of_cecilia_george.jpg

Cecilia George

1217170410_resize_of_devotha_desdery.jpg

Devotha Desdery

1217170024_pendo_laizer.jpg

Pendo Laizer

1217170410_resize_of_doris_godfrey_2.jpg

Doris Godfrey

1217168115_resize_of_nasreem_karim.jpg

Nasreem Karim


1217168115_resize_of_regina_julius_1.jpg

Regina Julius

1217168115_resize_of_rona.jpg

Rona Swai

1217168115_resize_of_tahya_badru.jpg

Tahya Badru


Bila kumsahau mdogo wangu huyu hapa:
africanwoman.jpg

Kichuguu Mdogo wa Kike


for me..tusekile na rona swai!!!! washindi haooooooooo
 

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
0
Mimi kwanza naanzaanza kwa kusema samahani, kwani kwa mwaka huu mmhh sijaona kisura sijui vigezo gani vilitumuka, maana warembo wote ni wa kawaida... ningekuwa mimi ni JAJI ningesema warembo wote wametoka droo, hakuna mshindi.............
 

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
170
Shukrani,

Sijui kama u rational kiasi gani..

Kimsingi sidhani kama unaweza na ukawa sahihi kutumia moral stds zako na upeo wako kumjudge mtu mwingine. Sijui unatumia reference gani..hapa naona umepotoka. Na ndio maana nimeshangazwa na watu kama wewe kujificha nyuma ya PC na kurusha kejeli na matusi ya nguoni kwa washiriki wa urembo, kumbe only you have is your moral std & upeo?! Mimi nafikiri wewe ndiye haswa mdhalilishaji kwa kurusha matusi kwa mtu specific mbele ya kadamnasi hii ya JF.Naomba uombe radhi kwa hili.

Nilijua hutajibu vizuri swali langu. Hivi jamii kweli ndio mtendewa wa udhalilishaji? Mtendewa basically is the same as Mdhalilishwaji ktk kadhia hii.

Kimsingi hakuna btn lines.

Alamsik.

Sasa wewe ulitaka niji-judge mwenyewe? Na naona unapenda sana kutumia neno ati kujificha nyuma ya PC na kurusha kejeli... unanifurahisha .

Ukiniambia kama una interest ni minada hii ya mabinti ya kila mwaka ntakuelewa lakini si kwa kutaka kuja hapa na hoja zako hizo. Sihitaji kusema ni vipi nimefikia conclusion yangu na sidhani kama nahitaji to justfy my statements to you... pia sina mpango wa kuwithdraw hata moja kati ya hizo kwa sababu niongeacho kipo sawa.

Unaposema matusi una maana gani? Na unataka niombe radhi kwa lipi?
 

Wakunyuti

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
380
0
Hizi Picha naona wamechukua vibaya..maana nimejitahidi kuifanya akili yangu ipate picha ya uzuri kwa hawa mabinti lakini naona imeshindikana...labda ziwekwe nyingine maana unaweza sema sio viwango kumbe kamera imechukua vibaya.........ila uyo aliyenyoa kipara..!!? duh!!
 

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
170
Kila bin'adamu (wewe ukiwemo) anatumia mwili wake kujipatia riqzi kwa namna anuai. Na hiyo ndo mana'ke.

Kwa hiyo na wewe ni CD wa kiume?

Meter ya rationality inapima 'zero'?

Soma uelewe na usingoje kueleweshwa kijana. Naweza kuwa CD wa kiume na ndio maana nakuwa nafahamiana vizuri zaidi na Ma CD wa kike ndugu hilo nalo litilie maanani.

Naona unajaribu kutumia maneno yangu against me,endelea maana sidhani kama yanaweza weka tofauti yoyote husiana na ukweli nilioongea husiana na Minada hii ya Kisasa. Kama ni mdau wa fani cya Urembo nadhani utajaribu na kuhakikisha ya kwamba yanayofaa uyachukue na myafanyie kazi.

Meter ya Rationality inapima Zero... well i suggest you read my signature husiana na hilo.
 

bintimacho

Member
Apr 25, 2008
41
0
Siyafagilii haya mashindano ya akina Lundenga kama ningekuwa na amri ningeyapinga kama yalivyopigwa marufuku kwa mara ya kwanza mwaka 1968,

Kwani kwa utamaduni wetu wa TZ yanawadhalilisha sana wanawake,Mabinti wanavaa vichupi vya uzi tu kiunoni na kupita kwa madaha wakirembua macho mbele ya majaji wa kiume, tena watu wazima kama wazazi wao,Hata kama hiyo LINO Agencey wana sheria za kuyaandaa,kimaadili hayatusaidii bali yanasaidia kuhamasisha ngono,
Ni laana kubwa sana kuwatumia wasichana kama vyombo vya kuwastarehesha wanaume(Majaji wa kiume),hata viongozi wa wetu wanakuwepo na wanakodolea’ macho maungo ya siri ya wasichana wasiowahusu.Eti Hiyo ndo ajira mpaka ukodolewe macho.

Kuna faida gani kama mzazi au kiongozi unashindwa kuinusuru kimaadili jamii yako?

jamani tusiwe backward namya hiyo..hii ni 2008,
miss world is for a great purpose and at the same time the girls joining in are mostly into doing good, and also to represent their countries pia to be proud of their goodself.
so most of the girls who join miss tanzania, they offcourse will see themselves being disturbed by ill thinking, weirdos ambao wanafikiri ukiwa mzuri wewe ni changudoa, and these are the same guys who will go out talking ill about the girls after kunyimwa!! ha ha
anyways, again i ask you people not be backward...
 

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,016
2,000
Soma uelewe na usingoje kueleweshwa kijana. Naweza kuwa CD wa kiume na ndio maana nakuwa nafahamiana vizuri zaidi na Ma CD wa kike ndugu hilo nalo litilie maanani.

Naona unajaribu kutumia maneno yangu against me,endelea maana sidhani kama yanaweza weka tofauti yoyote husiana na ukweli nilioongea husiana na Minada hii ya Kisasa. Kama ni mdau wa fani cya Urembo nadhani utajaribu na kuhakikisha ya kwamba yanayofaa uyachukue na myafanyie kazi.

Meter ya Rationality inapima Zero... well i suggest you read my signature husiana na hilo.

Nashukuru kuwa maswali yangu machache yamepembua u mtu wa namna gani.

Conclusion: Kimsingi huna hoja.

Alamsik.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom