Recent content by Nahene

  1. N

    Maadhimisho ya siku ya ukimwi KENyA

    Mbona hicho cha mtoto soma hapa No Smoking" in Kiswahili. After public smoking was banned in Kenya , each Town Clerk was assigned the duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their notice: Other councils are still working on theirs...
  2. N

    Mashoga nchini Tanzania

    Mtu B, Umesema kweli ni tabia ya kijiendekeza na kupenda vya chee. kwani mbona huko vijijini kuwa ma- impotence wengi na si mashoga jamani? Kama amezaliwa vile mbona kuna ma- Dr wa mitishamba wanajitangaza kutibu kwanini wasiwaendee kupata tiba? Pia kupata pesa za vuu na zisizo na baraka...
  3. N

    Nini Kinawafanya vijana kuwa mashoga?

    JUZAMO siamini na utafiti huu wa huyo dokta uchwara wa kitanganyika[/I]. Ehe,Juz hebu leta utafiti wa dokta Mtg aliye maridadi tuuone. [I]Jamani kuweni wa kweli mbona hamuwi wa kweli kila kitu mnasukumwa na dini najua uyo dokta ansumbuliwa na ukabila na ugalatia Ehe kumbe utafiti wa...
  4. N

    BAba na Mwana- Mahusiano

    Mbona hii ipo sana hasa kwa baba wa kambo. Jamii inapaswa kujiuliza chanzo nini? Maadili kuporomoka, tumemsahau Mungu na mafundisho ya kiroho, Laana zimetawala, kuchanganyikiwa na maisha au Mapesa yasiyokuwa na baraka yanawavuruga akili zetu? Naomba Tujadili chanzo kwani lisemwalo lipo...
  5. N

    Birthday For Lowassa: JK ndani ya nyumba

    Maane, Kumbuka usemi wa "usikatae wito.........." Paroko ni mtumishi wa Mungu hivyo ni ktk kufuata matendo ya bwana wetu Yesu kristu aliyewaambia mafarisayo kuwa" Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu". Pili watu walioalikwa na EL ni marafiki zake hata kabla hajapata...
  6. N

    Wanawake Ni Wasanii?

    Kila mbuyu na shetani wake na usiusemee moyo wa mwenzio kwani kila mtu anamaumbile ,mtazamo,na fikira zake ingawa wote wako jinsia moja. kama ambavyo kila mzazi atawasemea wanae kuwa malaria ya vijududu 2 vikimkamata fulani humu ndani hatulali lakini mwanangu fulani ahhaa utafikiri haumwi, ni...
  7. N

    Wanawake Ni Wasanii?

    Je wanaJF, tudhibiti vipi hii hali ya kuonewa na hawa raia wa kike? wewe unadhibitisha vipi?.
  8. N

    Spika Sitta amtimua nje Cheyo (UDP) Bungeni kwa kubishana naye!

    Kitendo alichokifanya Spika dhidi ya Cheyo si cha kiungwana kabisa. Cheyo alionyesha utulivu na kutokujibu maneno ya kejeli ambayo spika aliendelea kuyatoa. Kweli Bunge limetawaliwa na chuki binafsi. Hivi Spika alipima vipi udikiteta wa Cheyo, kwa ile picha ya jana yupi dicteta kati ya...
  9. N

    Memories for shycomists

    Which Year covers the memories JB, in additional those years of UBERIMAE MAGAZINE.
  10. N

    Hukumu ya mtoto Gujonja Said Gilabi (13)

    Nakumbuka maneno ya Dr Sengondo,M aliyasema akihojiwa na mwandishi kuwa Mawakili na wasomi wako busy kuwatetea matajiri na watu wakubwa na kuwasahau walalahoi na masikini wa_Tz. Jamani hivi hakuna mawakili wa kumtetea huyu mtoto,mko wapi NGO's, Mko wapi TAWLA,NEMC, Mama Ananilea Nkya na team...
  11. N

    Mke wa Lowassa azindua kitabu

    : Wao ni watumishi wa Mungu, na wako kuwakusanya kondoo waliopotea hata kama wataalikwa kwa jambazi wao hawana budi kuitikia kwani ni kazi yao ya kuwarudisha kundini waliopotea.
  12. N

    Mkuchika apingana na Mwakyembe na Malecela

    Kama Wajumbe wenyewe hawaelewani watafikia mwafaka kweli. Mama Anna Malecela alisema chama kina tabia ya kunyamazisha watu, hivyo kwa suala linalohusu taifa lazima jamii ielewe.
  13. N

    Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?

    Lo yamekuwa haya tena!!! Jamani, mtu asitetee Taifa eti sababu ana kampuni, hivyo mnao-hoji Dr MWK kuwa na masilahi binafsi, mulitaka Richmond waendelee kutunyonya? Kweli wa Tz inabidi tubadilike na tuwe na uelewa wa mambo. Kuwa kama m-Tz na M'nge na W/k wa Kamati alichotutendea wa Tz inabidi...
  14. N

    Tujadili PICHA hii

    Inaonyesha wakati ukuta, kuna baadhi waliokuwepo hapa duniani hawapo tena,kuna waliopo na bado wanaishi wote tunawakumbuka kwa matendo yao aidha mazuri ama mabaya ambayo waliyafanya au wanayafanya mpaka sasa. Hivyo dunia ni kama sahani ya biryani kuna kila aina ya kiungo kizuri na kibaya.
Back
Top Bottom