PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
- Thread starter
- #41
Jaribu kufunga dubwana tumboni ambalo ni sawa na ujauzito wa kati ya miezi sita na hadi tisa na utembee nalo hata kwa masaa machache tu na kulala nalo hata usiku kucha ili uone wanawake hata wale ambao mimba zao zinakuwa hazina matatizo wanavyopata shida kutokana na ujauzito.
Ona huyu Bubu alivyopagawa.
Soon or later utasema hata matiti ya wanawake ni mzigo kwao!!! KWII KWIII KWIII!!!!
Ngoja nikusomeshe:
Mimba inakuwa implanted ndani ya mwili, and so inakuwa kama sehemu ya mwili...! Mwisho tutasema hata koro**d*ni zetu ni nzito!
Thats Over too-much Mercy Bubu!...Na ijulikane nakuheshimu sana, lakini
ukubali tu kutokukubaliana!
Ur too wrong on that!