BAba na Mwana- Mahusiano

guys,
huu ni uvumi tu.believe me or not.
hivyvo vyanzo vyenu vya habari ''ni utata mtupu''

Usiwe Tomaso, lisemwalo lipo, mtu mzima hawezi tungu uwongo wa namna hii, umsaidie nini?

Kesi nyingi tu za namna hii zimetokea na zinaendelea kutokea. Cha msingi changia wewe unaionaje hii??? unanitia wasiwasi, wewe unaishi ulimwengu upi?? Ile iliyotokea Austiria ya baba kuzaa na bintiye watoto 6-8 wewe hukuisikia? Umepewa mada, changia unaionaje? kama huna mchango basi tulia tu soma michango ya watu.

Pole sana dada uliyekutwa na mkasa huu.
 
guys,
huu ni uvumi tu.believe me or not.
hivyvo vyanzo vyenu vya habari ''ni utata mtupu''

Usiwe Tomaso, lisemwalo lipo, mtu mzima hawezi tunga uwongo wa namna hii, umsaidie nini?

Kesi nyingi tu za namna hii zimetokea na zinaendelea kutokea. Cha msingi changia wewe unaionaje hii??? unanitia wasiwasi, wewe unaishi ulimwengu upi?? Ile iliyotokea Austiria ya baba kuzaa na bintiye watoto 6-8 wewe hukuisikia? Umepewa mada, changia unaionaje? kama huna mchango basi tulia tu soma michango ya watu.

Pole sana dada uliyekutwa na mkasa huu.
 
Georgie Porji hiyo avatar yako mh imenikwaza ndugu yangu mwezi mtukufu huu tafadhali
 
Hiyo habari ukiisoma kwa makini ina utata. Aya ya kwanza binti anasema Baba amekuwa akimlazimisha kuwa na mahusiano kwa muda mrefu tangu mama yake afariki.

Binti alikuwa anasoma Iringa, inaonyesha mama wa binti alifariki mwishoni mwa 2008. Kama Baba mzazi alikuwa ameanza kumdenda mwanae kwa muda mrefu, ilikuwaje binti akakubali kulala na baba yake kitanda kimoja na huku akijua kwamba baba amekuwa akimdenda? Hivi kweli binti wa F2 anajua kila kitu na anajua madhara ya kulala kitanda kimoja na mwanaume anaemdenda, bado alikubali kulala na baba yake kitandani? Hivi hakukuwa na mikeka ama virago vya kulalia ili atandike chini alale kwa amani?

Kama stori ni ya kweli basi binti nae amechangia katika hilo tendo kufanyika. The moment alipoanza kudendwa na baba yake alitakiwa atimke bila kuangalia nyuma na kwenda kuripoti kwa ndugu zake. Sasa kwenda kusema kwa ndugu wakati maji yameishamwagika wala haina msaada wowote, ni kujitia aibu yeye mwenyewe. Maana akina Keil (wadadisi) wako wengi watamhoji ilikuwaje akaachia hali hiyo iendelee kwa muda mrefu na huku akiona mazingira wanayolala yana utata. Alichofanya huyo binti ni sawa na mbuzi kujichanganya kwenye banda la chui na akijua chui anatokwa na udenda wa kutaka nyama ya mbuzi.

Vitendo kama hivi vimekuwa common kwenye jamii zetu, wengine wanadai ni masharti ya waganga wa kienyeji, wengine wanadai akina baba wa siku hawajiheshimu inafika mahali wanatamani watoto wao wenyewe. Kuna mengi sana ambayo yanatakiwa kuchunguzwa ili kuona nini kifanyike ili kuondokana na hali hii. Cases zinazokuwa reported ni chache sana ukilinganisha na wingi wa matukio hayo yanayofanyika kwa usiri mkubwa sana.
 
Kwani wewe haujawahi kusikia baba anakula kuku na mayai yake,au unachoona wewe akiwezekani hapo nini.


Kijana "Che Kalizozele" Jaribu kuwa mwerevu na mtu mwenye maadili mema...

Jambo hili hakuna asemaye haliwezekani lakini ni kharamu au mwiko kufanya mambo machafu kama haya

Sidhani kama kuna jamii ya aina yoyote hapa duniani ambayo inaruhusu haya mambo

Kifupui: kula kuku na mayai yake sio ujanja ni ujinga tena wa kustahili kupigwa mawe mpaa kifo kwa yule afanyae
 
Kama kweli huu ni mwisho wa dunia! Siamini hata kama baba ni mlevi au mla unga hawezi fanya hivyo na kama kafanya wanasubiri nini kufikisha kwenye vyombo vya sheria? Huyu Baba anafaa kuchomwa moto na si kunyongwa afe kilaini heeeeee ee mungu tunusuru na hii balaa ya dunia!
 
Mbona hii ipo sana hasa kwa baba wa kambo.

Jamii inapaswa kujiuliza chanzo nini? Maadili kuporomoka, tumemsahau Mungu na mafundisho ya kiroho, Laana zimetawala, kuchanganyikiwa na maisha au Mapesa yasiyokuwa na baraka yanawavuruga akili zetu?

Naomba Tujadili chanzo kwani lisemwalo lipo kama halipo............

Asanteni
 
hakuna kitu kama hiki. nyie mbona mmefumbwa macho kiasi hiki? hadi mnachekesha. ww tangu lini baba akatembea na mwanae? hakuna kitu kama ii...nyie kila kitu mnaamini tu. kama mambo yapo na umeshuhudia weka stori hapa .wenzako wametunga ili wauze.tchao.
 
Back
Top Bottom