Hawa sio akina George Washington na wenzake wakati wanatia sahihi Declaration of Independence katika miaka ya Karne ya 18? Lakini pengine siyo kwani pale maeneo ya katikati kuna watu kama Mao se Dong, Abraham Lincoln, Charles Darwin, Joseph Stalin, Albert Einstein, Mahatma Gandhi, William Shakespeare, n.k.
Kwa nini tuijadili hii picha? Au wewe ni kama watu wanaonunua picha moja kwa kutumia dola 20 milioni?