Mashoga nchini Tanzania

MUNGU atusaidie tuepukane na janga ili maana hukumu yake nu kubwa na ya jabu hapa duniani na jehanamu

Mkuu Sipo
Mungu hawezi kupisha vitendo tunavyofanya kwa hiari yetu. Tusimchanganye Mungu humu ndio maana anaacha watu wafanye watakavyo. Mungu yeye ni kama wewe 'SIPO' endeleeni kubanjuka
 
Mkuu Sipo
Mungu hawezi kupisha vitendo tunavyofanya kwa hiari yetu. Tusimchanganye Mungu humu ndio maana anaacha watu wafanye watakavyo. Mungu yeye ni kama wewe 'SIPO' endeleeni kubanjuka
Unataka kutuambia kuwa kila jambo mradi mtu kaamua kufanya bila kulazimishwa ni halal... kuuwa watu wenye ugonjwa wa ngozi (zeruzeru), ruksa, kwiba, ukahaba, ufisadi na mengine mengi yoote Mungu karuhusu na sisi hatuna wajibu wa kuyakemea...!?
 
Mkuu X-Paster
Wakati tunakubali demokrasia haikuwa ya siasa peke yake, ni demokrasia ya kila kitu. Na Tanzania ni mabingwa wa cut-&-paste. Tulikubali biashara holela na imekuwa holela kwelikweli, sasa leo tunakemea nini? Hayo uliyoyataja yote ni matokeo ya uhuru holela. Ni Mungu alituagiza tukubali uhuru holela? aaaaaaaggggggggggrrrrrrrhhhhhhh!!!!
 
Zawadi! Hata uko kunakoitwa kumeendelea na raiya wake wako huru, pia kuna kikomo cha demokrasia na uhuru, hakuna nchi duniani ambayo imewapa 100% raiya zake kuwa huru kujiamulia na kutenda wapendavyo.

M'Mungu alishatupa akili na hikma, ili tupate kutawala maisha yenu. Sasa tusipotumia akili zetu kwa faida nzuri na yenye kukubalika kijamii, kiutamaduni na mila zetu, tutakuwa zaidi ya wanyama mwitu.

Juwa kuwa kila nchi ina kanuni na sheria zake, na hili ndio muhimu. Ushoga na usagaji haukubariki katika sheria za nchi hii.

Watanzania walipiga kura ya maoni, kukubali ama ama kukataa sheria ya vyama vingi. Matokeo yake wale ambao hawakutaka kuanzishwa kwa vyama vingi wakashinda, lakini Rais wa wakati ule Alhajj Ali Hassan Mwinyi na serikali yake wakapitisha sheria ya vyama vingi.
Je ndio demokrasia imefuatwa au ilidhurumiwa!?
 
Hii habari niliwahi kuisikia kabla, ila ilkuwa kenye format tofauti kidogo, anyway... Kwa kuwa ulizungumza naye na kumuonea huruma (Kama si huruma za mamba) je ulimshauri kitu huyo schoolmate wako!?
Ni huruma ya kweli toka ndani ya moyo wangu na wala si vinginevyo Mkuu
 
Mkuu Sipo, hili tatizo sio tu kwa mayatima. Hili tatizo kimsingi litakuwa kubwa sana kwa jamii zetu hizi za kimasikini. Hebu fikiria wewe umejenga au umepanga nyumba yenye vyumba vitatu (waati mwingine sio umasikini bali fashion). Chumba kimoja cha kwako na mkeo, kimoja cha watoto wa kiume na kingine cha watoto wa kike. Tatizo linakuja pale anapokuja mgeni. Mara nyingi akija mgeni wa kiume huwa familia nyingi zinakuwa na tabia ya kumkaribisha kwenye chumba cha watoto wa kiume. Sasa hebu jaribu kufikiria, iwapo huyu mgeni ni basha na mwanao wakiume huwa analala peke yake chumbani na kuna kitanda kimoja tu, nini kitatokea hupo chumbani utakapochanganya chui na mwanakondoo bila wewe mwenyewe kujua?

Vivyo hivyo kwa watoto wa kike. Achilia mbali mgeni, mara nyingi huwa tunawaweka chumba kimoja na wahudumu wa nyumba (house girls). Je kama huyo mhudumu ni msagaji na analala chumba kimoja na mtoto wako nini kinaendelea huko? Watoto wengi wameathirika kwa njia hii. Wewe unaamini kuwa huyo mgeni ni shemeji yako (tumbo moja na mumeo/mkeo) kumbe ni simba mla watu

Jamani tuwe waangalifu, umasikini wetu usije ukatupeleka pabaya. Kama ikibidi kuchanganya watoto na watu wazima, tujaribu kuwa tunafanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kuzuia kabla tabia haijaota mizizi. Vinginevyo,mazoea haya inabidi tuyaache mara moja.
Huu mchango wako ni wa muhimu sana mhe.
Na hii ni mojawapo ya sababu kubwa ya kuongezeka kwa mashoga na wasagaji katika umri mdogo ukijumlisha na staili ya maisha ya sasa ya kuangalia picha za ngono kwenye umri mdogo na watoto na watu wazima kupractice.
 
Zawadi! Hata uko kunakoitwa kumeendelea na raiya wake wako huru, pia kuna kikomo cha demokrasia na uhuru, hakuna nchi duniani ambayo imewapa 100% raiya zake kuwa huru kujiamulia na kutenda wapendavyo.

M'Mungu alishatupa akili na hikma, ili tupate kutawala maisha yenu. Sasa tusipotumia akili zetu kwa faida nzuri na yenye kukubalika kijamii, kiutamaduni na mila zetu, tutakuwa zaidi ya wanyama mwitu.

Juwa kuwa kila nchi ina kanuni na sheria zake, na hili ndio muhimu. Ushoga na usagaji haukubariki katika sheria za nchi hii.

Watanzania walipiga kura ya maoni, kukubali ama ama kukataa sheria ya vyama vingi. Matokeo yake wale ambao hawakutaka kuanzishwa kwa vyama vingi wakashinda, lakini Rais wa wakati ule Alhajj Ali Hassan Mwinyi na serikali yake wakapitisha sheria ya vyama vingi.
Je ndio demokrasia imefuatwa au ilidhurumiwa!?

X-Paster
Sitaki kubishana sana na wewe ila hiyo hekima unayoitaja wewe ndio inayoongoza maovu yote Tanzania sasa hivi. Hekima ya kitanzania ni kufanya kila lililo ovu na asiye na hekima basi ni yule anayepinga hekima ya uovu. Ndio maana namtoa Mungu kabisa katika mambo haya.
Pia nimeita uhuru holela, ambao sio uhuru tena. Kuhusu wachache wapewe kwenye vyama vingi, haikuwa kwa kupenda kwa Alhaji Mwinyi, alishinikizwa na IMF and Benki ya Dunia kwa kuwa mambo eti yalikuwa magumu tukakubali pia kumbuka CCM ilikwenda kuangamiza Azimio la Arusha kule Zanzibar ili uhuru holela utekelezeke vizuri. Sasa hapo kuna kumlaumu Mungu kweli? Hao watawala waliofikiri kuwa kutakuwa na soko huria (soko la hovyo hovyo) la bidhaa walitegemea ni soko la uranium,chumvi na maandazi? Ni soko la kila kitu ndio maana sasa hivi ushoga na usagaji unaonekana kama bidhaa halali sokoni.
Please count God out kweye hekima ya kitanzania
 
Sina wasiwasi na ukweli wa habari hii lakini naona kama ina kamushkeli kidogo. Kwa maelezo ya huyo mdogo wetu ni kuwa mambo mengi alikuwa anafanya kutokana na shida. Ninachoshangaa ni kwamba baada ya Mheshimiwa Mbunge mmoja kumuwekea MILIONI NANE kwenye akaunti yake ndipo akaamua kuendelea moja kwa moja na upuuzi huo!!! Nilidhani kwamba alipaswa kuzitumia hizo Milioni Nane kujikomboa na hivyo kutolazimika kufanya upuuzi huo ili mkono wake uende kinywani, ama??? Na ili angalau tujaribu kudhibiti hali hii angalau kwa watu wanaoheshimika katika jamii, kwa nini asitaje jina la huyo Mbunge aliyekuwa tayari kuhonga Milioni Nane ili apate Tigo ya Mwanaume mwenziwe ambaye si ajabu ni sawa na Mtoto wake Mwenyewe?? Kwa nini Tufiche jina la Baradhuli kama Huyu?????????? :mad: :mad:
 
Ni huruma ya kweli toka ndani ya moyo wangu na wala si vinginevyo Mkuu
Suwala hapo ni hoja zako ulizotaka kwenda kuzimwaga kwenye ilo tamasha, ajabu ni kwamba simulizi ya mtu mmoja (schoolmate) ikakukata maini kiasi ukashindwa kuwakilisha kile kilichokuwa moyoni mwako.

Shida na matatizo yote hayo aliyoyapata huyo skuli meti wako, ulipaswa kumwelimisha na kumshauri kuachana na vitendo hivyo kwa kuwa anazidi kuvevela (kupotea), ndio maana nikaweka kwenye mabano (japo herufi zilikuwa ndogo) kuwa zilikuwa uruma za mamba... Ukutimiza wajibu wako kama mwanajamii.

Tafadhali ukionana naye tena fikisha ujumbe, kuwa unalaani vitendo vyote vichafu alivyo fanyiwa alipokuwa hana uwezo wa kujitetea, lakini sasa keshakuwa mtu mzima na anapaswa kumrudia Mungu wake (kama ana amini), na akijitahidi atafanikiwa na atayashinda majaribu.

Nami namuombea M'Mungu Insha'Allah atamuongoza na kuachana na vitendo hivyo vichafu, kama ana niya hiyo kweli.
 
X-Paster
Sitaki kubishana sana na wewe ila hiyo hekima unayoitaja wewe ndio inayoongoza maovu yote Tanzania sasa hivi. Hekima ya kitanzania ni kufanya kila lililo ovu na asiye na hekima basi ni yule anayepinga hekima ya uovu. Ndio maana namtoa Mungu kabisa katika mambo haya.
Pia nimeita uhuru holela, ambao sio uhuru tena. Kuhusu wachache wapewe kwenye vyama vingi, haikuwa kwa kupenda kwa Alhaji Mwinyi, alishinikizwa na IMF and Benki ya Dunia kwa kuwa mambo eti yalikuwa magumu tukakubali pia kumbuka CCM ilikwenda kuangamiza Azimio la Arusha kule Zanzibar ili uhuru holela utekelezeke vizuri. Sasa hapo kuna kumlaumu Mungu kweli? Hao watawala waliofikiri kuwa kutakuwa na soko huria (soko la hovyo hovyo) la bidhaa walitegemea ni soko la uranium,chumvi na maandazi? Ni soko la kila kitu ndio maana sasa hivi ushoga na usagaji unaonekana kama bidhaa halali sokoni.
Please count God out kweye hekima ya kitanzania
Nimekuelewa sana Mwalimu, na wala mimi si kama namlaumu M'Mungu kwa vitendo vyetu... yeye alishatupa muongozo tayari na alisha tuhabarisha nini cha kufanya na nini cha kuachana nacho... Hapa ni hiyari zetu kwa kweli na wala mimi sibishani na wewe, nadhani tumeshindwa kuelewana sehemu ndogo sana...

Shukrani mkuu kwa post yako.
 
ila kilichonishtua ni pale shoga mmoja aliposema ameshatembea na kiongozi mmoja wa dini ambaye anasimama mbele ya waumini na kutoa neno takatifu
Jamani, jamani, jamani jamani, dunia (Tanzania) inaenda wapi hii Mungu wangu

Huyo ni Padri Kimaro, mbona anajulikana na alishafumaniwa akimlawiti kijana wa miaka 17 kwenye gari akahukumiwa kifungo cha miaka 33 jela.
 
Lakini siamini kuwa ati mtu akilawitiwa atageuka shoga kama Sipo alivyoonesha kwenye post yake ya kwanza kwenye hii thread. Nina ushahidi.

  • Ukifuatilia vijana wengi wanaofungwa magerezani huwa wanalawitiwa (kwa hiari au kwa kubakwa), lakini wakitoka humo hawaendelei na tabia hiyo.Someni hapa: http://www.stormfront.org/truth_at_last/raje/memories.html
  • Ninafahamu watu waliowahi kulawitiwa lakini leo hii sio mashoga.
  • Ninawafahamu watu waliokuwa wanalawitiana kwa zamu shuleni walipokuwa wadogo, tena pale Umbwe waliwahi kufumaniwa kwenye miti ya kahawa (mibuni) wakapewa suspension na kurudi na wazazi, wakachapwa viboko hadharani. Mmoja tunafanya kazi ofisi jirani, na hana tabia za kishoga hata moja.
Kwa hiyo tabia ya kishoga ni kuendekeza tu, mtu yeyote akitokea kufanyiwa liwati kwa mazingira yoyote yale anaweza kujitoa humo na kuendesha maisha yake kawaida bila kuwa 'mchicha mwiba', 'shoga', 'anti' nk.

Na upungufu wa nguvu za kiume hautokani na ushoga, ndio maana bado kuna watu wanalawitiwa na bado wanamudu. Yapo mashoga ambayo yanajiita 'versatile', yaani yanalawitiwa na pia yanalawiti! Upungufu aliokuwa nao huyo aliyetajwa na Sipo huenda angekuwa nao tu hata kama angekuwa hajawahi kulawitiwa. Kuna watu wengi tu wana upungufu wa nguvu za kiume lakini hawajawahi kulawitiwa hata mara moja.

Kukosa nguvu za kiume si 'tiketi' au 'ruhusa' au uhalalisho wa mtu kugeuka shoga. Haya ya ushoga ni mambo tu watu wanaendekeza, na mfano uliotolewa na Sipo ni typical kabisa ya uendekezaji. Kama shida ilikuwa ni hela, tulitegemea baada ya kupata hizo milioni 8 za huyo kigogo angeacha basi. Kama si uchangudoa wa kishoga ni nini? Huyo ni CD tu!

Ushoga ni tatizo la kitabia, na wala si la maumbile. Ni kitu watu wanajifunza kama mtu anavyojifunza tu sarakasi au mchezo mwingine, ndio maana kwenye hii kitu tunawalaumu mashoga wenyewe kwa kujiingiza humo. Ni tabia mbaya tu sawa na uteja wa unga, udokozi, nk.
 
Mtu B,
Umesema kweli ni tabia ya kijiendekeza na kupenda vya chee. kwani mbona huko vijijini kuwa ma- impotence wengi na si mashoga jamani?
Kama amezaliwa vile mbona kuna ma- Dr wa mitishamba wanajitangaza kutibu kwanini wasiwaendee kupata tiba?

Pia kupata pesa za vuu na zisizo na baraka zinapelekea watu kufanya vituko vya kupindikia jamani. Fikiria huyo mtoa 8m usikute si halali , dhambi iliyoyumika kuzipata ndo hiyo hiyo inatumika kuzitoa, kweli pesa ya kusotea kwa jasho lako na familia yako utaitumia vile.

Kuna mtu amechangia khs wageni ni kweli baadhi wana tabia mbaya sana ya kuwafanyia watoto mchezo mbaya.Khs hili ma-docta wa hospitali wanajua sana kwani wanakumbana na kesi kibao za namna hii na wakiwauliza watoto wanasema na wengi wao ni wageni au wakaaji, na ukitaka kujionea wewe tembelea nduguyo Dr wenye familia ya watoto mchanganyiko, kama hana guest room basi watoto watakupisha chumba.Kamwe haruhusu kulala na wanae chumba kimoja.

"Je tuwafiche wapi watoto wetu wa kiume" Rose Muhando. Naona tujadili jinsi ya kupukika na hii hali kweli ni threat kwa wazazi.
 
"Je tuwafiche wapi watoto wetu wa kiume" Rose Muhando. Naona tujadili jinsi ya kupukika na hii hali kweli ni threat kwa wazazi.
tumwombe sana M'MUNGU atusamehe makosa yetu na kuwalinda watoto wetu sio wa kiume tu bali hata wa kike katika kila hali
M'MUNGU NI MWEMA SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU INGAWA TU WAKOSAJI KATIKA KUWAZA, KUNENA NA KUTENDA
 
Lakini siamini kuwa ati mtu akilawitiwa atageuka shoga kama Sipo alivyoonesha kwenye post yake ya kwanza kwenye hii thread. Nina ushahidi.

  • Ukifuatilia vijana wengi wanaofungwa magerezani huwa wanalawitiwa (kwa hiari au kwa kubakwa), lakini wakitoka humo hawaendelei na tabia hiyo.Someni hapa: http://www.stormfront.org/truth_at_last/raje/memories.html
  • Ninafahamu watu waliowahi kulawitiwa lakini leo hii sio mashoga.
  • Ninawafahamu watu waliokuwa wanalawitiana kwa zamu shuleni walipokuwa wadogo, tena pale Umbwe waliwahi kufumaniwa kwenye miti ya kahawa (mibuni) wakapewa suspension na kurudi na wazazi, wakachapwa viboko hadharani. Mmoja tunafanya kazi ofisi jirani, na hana tabia za kishoga hata moja.
Kwa hiyo tabia ya kishoga ni kuendekeza tu, mtu yeyote akitokea kufanyiwa liwati kwa mazingira yoyote yale anaweza kujitoa humo na kuendesha maisha yake kawaida bila kuwa 'mchicha mwiba', 'shoga', 'anti' nk.

Na upungufu wa nguvu za kiume hautokani na ushoga, ndio maana bado kuna watu wanalawitiwa na bado wanamudu. Yapo mashoga ambayo yanajiita 'versatile', yaani yanalawitiwa na pia yanalawiti! Upungufu aliokuwa nao huyo aliyetajwa na Sipo huenda angekuwa nao tu hata kama angekuwa hajawahi kulawitiwa. Kuna watu wengi tu wana upungufu wa nguvu za kiume lakini hawajawahi kulawitiwa hata mara moja.

Kukosa nguvu za kiume si 'tiketi' au 'ruhusa' au uhalalisho wa mtu kugeuka shoga. Haya ya ushoga ni mambo tu watu wanaendekeza, na mfano uliotolewa na Sipo ni typical kabisa ya uendekezaji. Kama shida ilikuwa ni hela, tulitegemea baada ya kupata hizo milioni 8 za huyo kigogo angeacha basi. Kama si uchangudoa wa kishoga ni nini? Huyo ni CD tu!

Ushoga ni tatizo la kitabia, na wala si la maumbile. Ni kitu watu wanajifunza kama mtu anavyojifunza tu sarakasi au mchezo mwingine, ndio maana kwenye hii kitu tunawalaumu mashoga wenyewe kwa kujiingiza humo. Ni tabia mbaya tu sawa na uteja wa unga, udokozi, nk.
Mkuu Mtu B
Mchango wako ni mzuri ila kimsingi kabisa wewe unahitaji kuonana na hawa watu (mashoga) na kuongea nao na kuwasikiliza na kuwauliza maswali ya msingi ambayo yatakufanya ubadili msimamo wako na kutafuta njia ya kuwasaidia kuliepusha taifa letu na janga kubwa siku za usoni. Ni kweli ukikomalia mtizamo wako kuwa kuna kujiendekeza kwa hawa watu (mashoga) basi msaada wako katika kutokomeza tabia hii utakuwa mdogo sana.
 
Sasa kilichomfanya akachanganyikiwa zaidi ni pale alipompata mpenzi na kugundua kuwa ana tena nguvu za kiume na alipokwenda hospitali na kumweleza daktari ukweli daktari alimjibu kuwa kutokana na vitendo alivyofanya vya kishoga haotokuwa na uwezo tena wa kuwa na nguvu za kiume maishani mwake.

Hakuna hicho kitu, kitaalam kulawitiwa hakusababishi mtu kukosa nguvu za kiume na ndo maana hata mashoga wengi husimamisha wakichezewa. Pia kwa mujibu wa mtaalam wa masuala ya mahusiano Rosario, Schrimshaw, Hunter, Braun (2006), anasema tabia za usagaji, ushoga na hata ujikedume hutokana na mazingira anayotoka mhusika na mara nyingi hayana madhara na mabadiliko ya maumbile yao ya kawaida." kwa mfano msagaji anaweza kufanya mapenzi na jinsia nyingine bila kuathiri tabia yake ya usagaji na hata ile ya ushoga

Ndo wapo watu wengi mashuhuri wametuhumiwa kuwa na tabia za ushoga ndani ya ndoa au hata nje ya mhusiano ya kawaida bila wenzao (wapenzi wao) kugundua. Sasa inawezekana huyo rafiki akawa na tatizo hilo lakini sikubaliani na sababu alizokupa eti daktari katia sahihi yeye hawezi kusimama tena.

HUYO ALITAKA KUWEKA JUSTIFICATION YA YEYE KUENDELEA NA KITENDO HICHO. Hakuna jipya ni tabia mbaya tu....kama hasimami ndo akasimamiwe eboo!!!!:eek:
 
Hapa mkuu tupo pamoja. Ushoga ni tabia anayojifunza au kuzoeshwa mtu halafu anaiendekeza. Mazoea na kujiendekeza. Mtu shoga akitaka kuacha tabia hiyo anaweza kabisa, kinachotakiwa ni dhamira tu. Suala moja tu linabaki, na ndilo wengi wanaounga mkono mashoga wanalisimamia: Kwa nini mtu aache ushoga? Na hapa wanajijibu wenyewe kuwa hakuna sababu ya mtu kuacha kitu anachopenda, au alichokichagua mwenyewe akiwa na akili timamu. Wanadai ni tendo linalofanywa na 'consenting adults'. Kifupi ni kwamba mashoga hao wanaojitokeza katika shughuli kama hiyo ya TGNP aliyoturipotia mwenzetu Sipo, sio wale wanaotaka kuacha ushoga, hawana nia ya kuacha ushoga, bali wanataka kutushawishi sote tukubaliane na choice yao hiyo, tusiwabague, kuwanyanyapaa nk. Yaani wanataka waachiwe uhuru wao waendelee na liwati bila kubughudhiwa.

Mshangao wangu katika sehemu zote ambako mashoga wanadai 'haki' zao, haki inayopiganiwa hasa ni ile haki ya kulawitiwa bila kuitwa 'choko', 'm*enge',nk. Kwamba kulawitiwa ni 'haki' yao kwa hiyo tusiwaseme au tusiwanange nk. Lakini sijasikia wenzao wakidai nao 'haki' yao ya kulawiti! Sasa sielewi hao 'wenzi' wanaoyalawiti haya mashoga, mbona wako kimya hawaungi mkono wenzao? Jibu: ni kitu kisichoungika mkono! Wanawaachia machoko wahangaike nacho wenyewe!

Nakiri kuwa sina haki wala madaraka ya kumzuia shoga kulawitiwa. Lakini mashoga nao wanatakiwa waelewe kuwa hawana haki wala madaraka ya kututaka sisi wengine tuwakubali au kuwachukulia kama watu wa kawaida. We go separate ways. We call a spade a spade, mwanaume anayelawitiwa ni m*enge, choko, bwabwa, nk, hivyo ndivyo anavyostahili kuitwa na kuchukuliwa, ndiyo haki yake hiyo.
 
Sasa kilichomfanya akachanganyikiwa zaidi ni pale alipompata mpenzi na kugundua kuwa ana tena nguvu za kiume na alipokwenda hospitali na kumweleza daktari ukweli daktari alimjibu kuwa kutokana na vitendo alivyofanya vya kishoga haotokuwa na uwezo tena wa kuwa na nguvu za kiume maishani mwake.

Sidhani kama kuna scientific proof ya hili..... eti kwamba ukipakuliwa basi nawe hutoweza pakua tena????? Lakini labda kwa kuwasaidia wadau humu ni kwamba, wale mamende wazoefu (hii niliipata kijiweni kwa masela wangu long time) wakati wanapakua kisamvu wakiona jogoo wako anawika huwa wanamnyonga, mashine yako inakunjwa na kusokotwa kiasi ambacho haifurukuti kabisa, hii ni kwa sababu ya hofu ya kwamba unaweza kumrudi mpakuaji. Sasa kama zoezi hili la 'kunyongwa' linafanyika mara kwa mara, mashine yako itaishiwa nguvu in the long run.
 
Nimepata hamasa ya kupitia mjadala mzima ulivyoenda hapa nadani kwenye hii mada ambayo nimeianzisha hapa. Mijadala yote kwa mtazamo wangu nimeona ina manufaa kwakuwa imejaribu kuonyesha uelewa wa kila mtu kwenye eneo lake au kwa mtazamo wake analichukuliaje suala zima la Mashoga na Wasagaji hapa kwenye nchi yetu.
Kimsingi lengo la kuanzisha mada lilikuwa ni kujaribu kuonyesha ni jinsi gani wengi wetu tunapenda kunyanyua mikono na vidole wetu kuwaelekea wale wenye matatizo au tabia fulani manthalni UKIMWI, ushoga, umalaya, usagaji, wizi na tabia nyinginezo nyingi tu. Kusema kweli sikutoa hii mada kutetea kuendelea kuwepo kwa vitendo hivi miongoni mwa jamii ya Kitanzania kwa kisingizio cha aina yoyote ile.
Lengo langu kubwa hapa ni sisi kama jamii tulio na watoto na tusio na watoto wetu wenyewe lakini tunazungukwa na jamii kwa ujumla wake kuchukua sababu za makusudi katika kuhakikisha kuwa watoto wetu wanakuwa katika maadili mema na kujua kuyatenda yale yaliyo mema mbele ya M'MUNGU na wazazi au walezi wao.
Niliweka mada hii hapa baada ya kuguswa na kile nilichokiona kwenye Gender Festival 2009 hapo TGNP. Naamini nilichagua sehemu bora ya kuweka mda yangu kwa kuwa hapa JF kuna wanachama na wageni ambao baada ya kupata elimu nategemea kuwa tutaibadilisha jamii yetu kwa kiasi kikubwa san na kuepuka tabia hii ambayo kusema kweli ni laana sio kwa mhusika tu bali familia yake, ukoo wake na taifa kwa ujumla. Nimesema haya kwa kuwa sitegemei kuwa kuna mwanJF yeyote atakyeona tabia hii inaanza kutokea kwenye eneo analoishi na kuacha iendelee kukemea kwa njia moja au nyingine.
Naomba niweke msisitizo kwenye malezi ya watoto jamani, kusema kweli tukubali tukatae tabia hizi siku hizi zinaanzia kwa watoto wadogo kutokana na kufanyiwa mambo mabaya na ya kifedhuli na watu wazima aidha wazazi wao wenyewe, walezi wao, majirani zao au watu wengine wowote ambao wanakuwa karibu nao kwa wakati fulani na sehemu fulani. Kwahiyo kwanza kila mmoja kwa IMANI yake na dini yake au dhehebu lake amwombe MUNGU atuepushe na janga hili pia awalinde watoto na vijana wetu wakiwa sehemu yoyote ile na uko mashuleni ili wakae wakimtegemea MUNGU na kuwaepusha na majnaga kama haya ya kusononesha. Mimi kwa IMANI yangu naamini kuwa tunamuhitaji MUNGU san katika kutuepusha na majanga mbalimbali ili likiwa ni mojawapo.
MUNGU atulinde na kutusamehe dhambi zetu lakini zaidi ya yote abadilishe mienendo yetu siku zote za maisha yetu na kumrudia yeye. Amen
 
Back
Top Bottom