Recent content by nacktary

  1. nacktary

    BAKWATA wapo kwa maslahi ya kina nani?Wanatumwa na nani?

    Sawa kama umeona unatakiwa kufunga kama umeambiwa na watu unaowaamin vile vile funga Usipate shida
  2. nacktary

    Kuna Wachina weusi sana, ama walitokea Afrika?

    Kuwa mweusi ni matokeo ya vinasaba vinavyobeba melanin kuwa na nguvu katika muonekano wa mtu. Kwahiyo kadiri vinavyokuwa vingi kutoka kwenye vinasaba ndio husababisha mtu huyo kuwa mweusi zaidi. Vikiwa pungufu matokeo yake mtu anaweza kuwa albino. Ila kuwa mweusi haimanishi kuwa mwafrika...
  3. nacktary

    External hard drive ipo slow kucopy files

    Kuna cable za 2.0 Na kuna cable za 3.0 3.0 ina speed kwenye kutuma data kuliko 2.0 Vile vile system bus ya pc yako kama ni ya speed ndogo huwezi force.
  4. nacktary

    LAPTOP YANGU IMEKUWA NZITO

    Ningekushauri ufuate hatua zifuatazo 1.hakikisha partition iliyokaa os haijai mpaka ikawa nyekundu. 2.fanya disk defragmentatiin 3.disk clean up 4.punguza application ambazo hutumii na ambazo zinaamka na pc. 5.tafuta sehem yenye blower waipulize pc yako iondoke vumbi 6.Weka pc juu ya kitu...
  5. nacktary

    Msaada simu memory imejaa vitu

    Ukidownload vitu vinaenda kwenye main memory ya simu sio kwenye external memory. Kama una uwezo Ukidownload hakikisha unavihamisha kwenda kwenye extenal memory kuepuka kujaaa. Vitu kama picha za kamera unaweza elekeza ukipiga zikakae huko
  6. nacktary

    Dvd rom haionekani kwenye laptop

    Hapo swala la kucheki drivers za hiyo dvd kama zipo kwenye hiyo pc au la
  7. nacktary

    Naomba kufahamu Garama za kutengeneza Application

    Hadi bei ya kutengeneza application bongi
  8. nacktary

    Naomba ufafanuzi juu ya kifaa cha microchip

    Neno lenyewe linasadifu maana Microchip Micro -ndogo Chip-kikadi kidogo kinachohifadhi taarifa. Kwahiyo microchip ni kadi ndogo maalum ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuhifadhi data za mhusika. Matumizi hapo ndo itategemea Ya kifedha Ki intelligencia Na mengineyo. Ushawahi jiuliza...
  9. nacktary

    Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    1.fid q 2.p the mc 3.kadgo 4.solo thang 5.jay mo
  10. nacktary

    Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Hahahaha bank zengine wanatumia window xp Na password yenye tarakim nne Wakati account yako ya email umeweka nane tena mchanganyiko wa herufi na namba
  11. nacktary

    Msaada samsung s3 internet inasumbua

    Hapo kwenye port badilisha weka 8080 halafu kwenye proxy leave blank maelezo mengine naweka picha hakikisha vinafanana
  12. nacktary

    TCRA TTMS and the rise of surveillance in Tanzania

    Huwa najiuliza kwamba baada ya muda msg zetu kwenye mitandao ya simu (tigo, voda, airtell) wanazifuta maana
  13. nacktary

    Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Nimekwambia wanakuwa na search engine yao kwa ajili ya kudaka maneno waliyohifadhi (database dictionary) Mfano wanaweza weka maneno kama (raisi, ikulu, mkuu wa nchi, jenerali) Majambazi wanapopanga mambo yao hutumia maneno ambayo sio rahisi kwa mtu wa kawaida kujua tukio litalo fanyika wanaweza...
  14. nacktary

    Msaada samsung s3 internet inasumbua

    Nenda kwenye setting>more network> mobile network>access point name Screenshot kuanzia hapo nione nin naweza kukusaidia
  15. nacktary

    Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Navyofaham uchunguzi wa kiusalama mwingi huwekwa kwenye keyword search Wao wanakuwa na search engine yao kwa ajili ya kusearch keywords zao na kila unapopost ina trigger kwenye Dictionary yao Mfano wameweka neno raisi Ukipost neno raisi wanajua kisha wanaanza kufuatilia aliyepost nani...
Back
Top Bottom