Hehehehehe hatariiiBila kusahau wale wanaokuja pm, anajidai anakupenda anakuomba namba ukikataa yeye anakupa zake eti ukamuone wsap.
Ngastuka mi namba sitoi.
Magufuli kweli hana shida na watu ila wale jamaa wengine hatariMagufuli mwenyewe kasema hapati shida na tunayo ya sema yeye hajali basi atuache tumchambue kama karanga awatulize vijana wake waache mapepe
HahaNgoja nifungue account nyingine ya kikazi zaidi
Mimi siwaogopi labda wafanikiwe kuizima Jamiiforum,wanashindwa mambo ya msingi wanahangaika na watu wa mtandaoniMagufuli kweli hana shida na watu ila wale jamaa wengine hatari
unaongea kama nyoka kaka, hakuna kuaminiana saizi,sio kila anaetoa msaada/ushauri anataka kukusaidia,nadhani utakua umenielewaUnaweza kwa kuwa makin na unachokiandika
Umeonaeeunaongea kama nyoka kaka, hakuna kuaminiana saizi,sio kila anaetoa msaada/ushauri anataka kukusaidia,nadhani utakua umenielewa
Typical TZ yani,unajua majibu alafu unazingua!mwaga mchele hapaHacker wako silent na hao ni newbie wanaotumia hizo njia..
Sitaexpose njia muhim ya sasa ila take care na smartphone yako kwa sasa ndio device wanayo target sana
Don't trust any one hata mtu wa karibu sana..
HahahaNiliwahi kuleta tangazo la kutafuta waigizaji..Mutu ilifurika pm balaa..Hadi target nae akaingia mkenge