Naomba kufahamu Garama za kutengeneza Application

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
Kama kuchwa cha Habari kinavyoeleza ..Naomba kufahamu Garama kamili za kutengeneza App kwenye Android na IOS , na wap naweza pata hiyo huduma .
Ahsante
 
mkuu ungeelezea ata kidogo ni application ya namna gani unayohitaji kutengenezewa yani nipate concept ya nini unachohotaji. au angalia izi types then niambie ni type ipi itakua rahisi zaidi kukutajia price

Word processing software == MS Word, WordPad and Notepad
Database software == Oracle, MS Access etc
Spreadsheet software == Apple Numbers, Microsoft Excel
Multimedia software == Real Player, Media Player
Presentation Software == Microsoft Power Point, Keynotes
Enterprise Software == Customer relationship management system
Information Worker Software == Documentation tools, resource management tools
Educational Software == Dictionaries: Encarta, BritannicaMathematical: MATLABOthers: Google Earth, NASA World Wind
Simulation Software == Flight and scientific simulators
Content Access Software == Accessing content through media players, web browsers
Application Suites OpenOffice, Microsoft Office
Software for Engineering and Product Development == IDE or Integrated Development Environments
 
vipi hiyo educational software?
 
Kama kuchwa cha Habari kinavyoeleza ..Naomba kufahamu Garama kamili za kutengeneza App kwenye Android na IOS , na wap naweza pata hiyo huduma .
Ahsante
Ushafanikiwa? Natoa hiyo huduma kwa bei ya laki tano. Malipo nusu mwanzo nusu mwisho tukikubaliana. Njoo pm tuyajenge kama bado unatafta. Pia natoa darasa kama uko mikoa ya kanda ya kati ili ukukuruke mwenyewe ingawa itakuchukua muda na unaweza usipate unachokitaka
 
Kama kuchwa cha Habari kinavyoeleza ..Naomba kufahamu Garama kamili za kutengeneza App kwenye Android na IOS , na wap naweza pata hiyo huduma .
Ahsante
Kwa huduma ya application tuwasiliane hapa mkuu kama bado hujapata.. 0718245791
 
Back
Top Bottom