Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Tochi ndo simu nzuri lwa usalama. Trust me
Elewa somo LuisMkinga kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.
 
Kuna kitu kinaitwa IP Address ya simu unayotumia inatosha kutumiwa na TCRA kuijui line yako ya simu. Yaani namba yako ya simu na hapo wanakupata haraka. Tuwe makini na lugha tunazotumia na majina yasiweze kutufunga kirahisi.
Sawa. Ila loophole ipo kwenye usajili wa simcard. Simcard zinasajiliwa na watu ambao sio waajiriwa wa kampuni za simu. Walipwa kamisheni kulingana na laini alizouza, hivyo kuna mwanya mkubwa wa kusajili laini kwa kutumia ID fake na kumfanya mtu asipatikane kirahisi. Lakini pia kuna lain nyingi ambazo waweza kuzitumia kwa siku kadhaa bila kusajili kabla haijafungwa na makampuni ya simu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mbinu dhaifu sana hizi
Hizi mbinu ni very effective na ni rahisi sana maana huhitaji ujuzi mkubwa wa ICT zaid ya kujua kutumia. Ndo social engineering yenyewe. Watu wengi sana wanaingia kingi, hadi wataalam wa ICT wenyewe.

Kuna siku nilipata pm ya 'mdada' anataka nimpe namba yangu ya simu ili kuniunga na kundi la wajasiliamali la whatsApp. Mimi siposti kuhusiana na mambo ya ujasiliamali, alijuaje nitakuwa interested? Lazima uwe na alarm kichwani ili uweze kuruka huo mtego. Japo sina cha kuficha,siwezi kuwarahisishia maisha ktk kunitafuta.

Kwa Social engineering hata benki zinaingia kingi pamoja na kwamba ni taasisi ambazo ni very security conscious.
 
Hahahaha bank zengine wanatumia window xp

Na password yenye tarakim nne

Wakati account yako ya email umeweka nane tena mchanganyiko wa herufi na namba
 
Hutakiwi kuwa na hasira na mkulu!Hata ukihisi amekosea jitahidi usinene lolote.Shoka limewekwa kwenye mti,nini kitazuia lisikate?
Seriously? Kuuliza kuwa kama huna kosa hofu ya nini ndio umeona nina hasira?

Logically kama huna kosa hofu ya nini?
 
Hahahaha bank zengine wanatumia window xp

Na password yenye tarakim nne

Wakati account yako ya email umeweka nane tena mchanganyiko wa herufi na namba
Yeah, hakuna OS kimeo kama Windows XP kwenye security. Watu ndiko wanajifunzia hacking huko, ajabu taasisi za maana tu unakuta wanatumia Windows XP. But hizo ni benki za nchi zinazoendelea. Nilikuwa namaanisha bank za mbele.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom