Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Ilo.kweli, kwanini wasidukue majambazi , matapeli wanadukua alomsema rais tu? Au sijaelewa
Nimekwambia wanakuwa na search engine yao kwa ajili ya kudaka maneno waliyohifadhi (database dictionary)
Mfano wanaweza weka maneno kama (raisi, ikulu, mkuu wa nchi, jenerali)

Majambazi wanapopanga mambo yao hutumia maneno ambayo sio rahisi kwa mtu wa kawaida kujua tukio litalo fanyika wanaweza tumia keki (hela itakayoibiwa)

Wakati kwenye database yao neno keki sio neno hatarishi.

Kwahiyo kuanza kumchunguza mtu ambaye hana maneno hatarishi inachukua mda labda wapewe tips kwamba flani mambo yake sio
 
Hizo zote ulizotaja ni trivial metheds kuna njia zingine tofauti kabisa ambazo zina uwezo wa kuidentify na kuspot watoto wa faru john popote duniani hata kama wamesambazwa katika mbuga mia moja tofauti.
NB Watoto=mharifu/waharifu anaesakwa
mbuga=mitandao ya kijamii
 
Mimi siwaogopi labda wafanikiwe kuizima Jamiiforum,wanashindwa mambo ya msingi wanahangaika na watu wa mtandaoni
Defenda imechelewa tukio la ujambazi wewe kwa jeuri yako chukua kopo la maji tupia mule kwa dereva. Ndo utajua la msingi na la chuo lipi??
 
Juzi kuna mtu akupost mambo yake,alaf akawema link ya fb kuhusu hiyo taarifa,kidogo niingie,nikaikata faster.
Huo ni mtego,obviously ukiingia kwenye hiyo link,hasa hasa za fb,itatambua credential zako kutokana na installation yako kwenye simu yako,hivo automatical itakuunga hapo ukikoment tuu,itatoa muungano wa fb + jf UMEKWENDA NA MAJI.
 
Juzi kuna mtu akupost mambo yake,alaf akawema link ya fb kuhusu hiyo taarifa,kidogo niingie,nikaikata faster.
Huo ni mtego,obviously ukiingia kwenye hiyo link,hasa hasa za fb,itatambua credential zako kutokana na installation yako kwenye simu yako,hivo automatical itakuunga hapo ukikoment tuu,itatoa muungano wa fb + jf UMEKWENDA NA MAJI.
Yes ile ya gari lililobomolewa Kioo na kuiba laptop
 
Hapa ndiyo najiuliza kwanini nisifungue id mbali mbali zitakazokua na kazi kwa ajili ya kila jukwaa
Haita kusaidia,labda utumie simu moja kwa kila jukwaa,na iwe na laini tofauti na mwezake,balaa ni kuwa laini unayo tumia lazima iwe imesajiliwa kwa jina lako.

OGOPA SANA SIMU ZILIZO SAJILIWA KATIKA MADUKA YA VODASHOP,TIGOSHOP e.t.c
 
Inawezekana kufanya yale yasiyowapendeza 'wakuu' kwenye mtandao na wasikukamate. Anza kwa kupata simcard feki. Hili ni rahisi. Waweza hata kutengeneza kitambulisho bandia halafu ukasajilia line. Picha waweza weka inayofanana na wewe kwenye hicho kitambulisho-cha msingi isiwe halisi. So kwa gharama isiyozidi 20,000/- unapata line feki.

Hatua ya pili unahitaji email account fake. Usitumie majina wala tarehe ya kuzaliwa ambayo ni halisi. Kama namba ya simu itahitajika wakati wa kutengeneza account, tumia ile ya line feki. Hili lifanyike Internet cafe. Tena ukienda huko cafe fanya kazi moja tu ya kutengeneza akaunti na usifungue mtandao mwingine ambako una taarifa zako halisi.

Hiyo laini itumike kwenye simu moja tu na hiyo simu isiwekwe lain nyingine. Hiyo lain isipige wala kutuma sms namba yoyote na hata vocha ziwekwe za kukwangua sio za kununua online. Inapendeza pia kama simu ni untraceable. Sasa waweza kuwa 'huru' mtandaoni kwa kutengeneza akaunti nyingine nyingi tu ambazo zote zinaunganishwa na email fake uliyotengeneza.

Japo smartphone na simu ya kawaida hutoa location ya mtumiaji kwa kumhusianisha na mnara wa karibu anaotumia au GPS, bado haitoi exact location ulipo kiasi cha mtu kukufuata ulipo.

Kwa upande wa serikali, serikali ipo nyuma sana katika haya masuala ya mtandao. Ianze na kuunganisha database zote-kuanzia RITA, NIDA, UHAMIAJI, NECTA, MAKAMPUNI ya Simu, etc. Tufikie mahali kwa kutumia namba ya simu tu, serikali inaweza kujua mtu amezaliwa lini, ana elimu gani, hali yake kiafya ikoje na you wapi. India ni mfano wa nchi ambazo ukifanya uhalifu mtandaoni wanaweza wakakukamata ndani ya saa 1 kwakuwa wameunganisha database zao. Yaani kitendo cha kumpa muuza duka namba yako ya simu, anapata details zako zote.

Japo sheria yetu ya makosa ya mtandao 'inatisha' sana watu, bado haijafikia zile za nchi zingine ambako hadi internet cafe lazima zifungwe cctv ili kudhibiti wale wanaofanya uhalifu kwa kutumia internet cafe. Tena unakuta sheria inakataza hadi kutumia software za aina flani na hata kuangalia kama server iko online(ping) ni kosa.

Mwisho wanasheria wetu bado hawajajijengea uwezo wa kusimamia kesi za makosa ya kimtandao kwa sababu wanaamini ushahidi wa mtandao hauna chembe ya shaka kumbe kimsingi hakuna ushahidi wenye loopholes nyingi kama ule wa mtandao. Ndo maana watu wanatishwa na kuhukumiwa kwa makosa ambayo sehemu nyingine unashinda kirahisi.

Update:
Hongera kwa serikali kwa kuthibiti mianya ktk usajili wa line za simu. Haiwezekani tena kutumia line bila kusajili wala huwezi kujisajili kwa kutumia kitambulisho chochote isipokuwa cha uraia, passport na leseni ya udereva ambavyo vyote vina taarifa zako muhimu ikiwemo biometric. Hivyo kufanya uhalifu bila kugundulika imekuwa ngumu zaidi.

Bado kuna loophole ktk line zinazopotea. Ukipoteza line kwa kudondosha au simu kuibiwa inaweza ikatumika kufanya uhalifu wa kimtandao. Pia vitambulisho vya uraia, leseni na passport zinazopotea zinaweza kutumika kusajili lain feki maana sidhani kama wale vijana wanaosajili wako makini kiasi cha kuangalia vizuri picha. So tuwe makin na vitambulisho vyetu, vikipotea toa taarifa polisi na polisi wahakikishe kitambulisho kilichopotea hakisajili line mpya.

Disclaimer:Lengo la post hii ni kuelemishana ili kuepuka upotoshaji kuhusiana na masuala ya mtandao. Heshimu sheria za nchi.
 
Kuna kitu kinaitwa IP Address ya simu unayotumia inatosha kutumiwa na TCRA kuijui line yako ya simu. Yaani namba yako ya simu na hapo wanakupata haraka. Tuwe makini na lugha tunazotumia na majina yasiweze kutufunga kirahisi.
 
Navyofaham uchunguzi wa kiusalama mwingi huwekwa kwenye keyword search

Wao wanakuwa na search engine yao kwa ajili ya kusearch keywords zao na kila unapopost ina trigger kwenye

Dictionary yao

Mfano wameweka neno raisi

Ukipost neno raisi wanajua kisha wanaanza kufuatilia aliyepost nani.

Watakusanya post zako wata analyze kisha watakuja na mipango kama wewe ni threat au la.

Hapo ndo hatua zaidi hufuata kama kukudua na mengineyo
Nyoka huyooooo
 
unatujengea mazingira magumu sana ya kazi mkuu.....sio fresh bhana... kwagutusha kihivyo...
waambie wasimamie kwenye utii wa sheria bila shurti....[emoji45] [emoji45] ...
 
Juzi kuna mtu akupost mambo yake,alaf akawema link ya fb kuhusu hiyo taarifa,kidogo niingie,nikaikata faster.
Huo ni mtego,obviously ukiingia kwenye hiyo link,hasa hasa za fb,itatambua credential zako kutokana na installation yako kwenye simu yako,hivo automatical itakuunga hapo ukikoment tuu,itatoa muungano wa fb + jf UMEKWENDA NA MAJI.
Even kuna picha ya wadada wana makalio vimodo hv alipost nahisi
Jambazi
 
Back
Top Bottom