Kiranja pekee anaekufanya unakunja nne ndani ya sgr dar dom masaa 3 tuu.....kiranja pekee anaekufanya ukifika kibaha mpaka ubungo unateleza tuu na barabara nane bila wasi.....
Aende kwanza huko kitongoji cha muungano kata ya makutupora akamalize kero ya watoto wadogo mpaka wa chekechea kutembea mpaka kilomita 8 kwa siku kufata shule......ndio alie sasa tumuone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.